mdada wa Jf, Mbaba mtu mzima anapokutaka kimapenzi unajibu nini??

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date


Ubarikiwe mpaka ushangae, halafu niweke kwene maombi yako ya usiku huu, na kuendelea.
Mpaka nitakapofanikiwa nitakupa feedback, ili pia tufanye maombi ya shukurani.
 
Ubarikiwe mpaka ushangae, halafu niweke kwene maombi yako ya usiku huu, na kuendelea.
Mpaka nitakapofanikiwa nitakupa feedback, ili pia tufanye maombi ya shukurani.

LD,,,naamini unaweza.Muombe Mungu akupe hekima ya kuongea nae na yeye apewe uelewa kwamba ukiongea nae it should be once and for all,,hayo ni majaribu ya kawaida kwa mtoto wa kike,lkn Mungu atatoa mlango wa kutokea otherwise better quit.
Gud cheer.
 
LD,,,naamini unaweza.Muombe Mungu akupe hekima ya kuongea nae na yeye apewe uelewa kwamba ukiongea nae it should be once and for all,,hayo ni majaribu ya kawaida kwa mtoto wa kike,lkn Mungu atatoa mlango wa kutokea otherwise better quit.
Gud cheer.

Asante sana WL, daa Mungu akubariki sana, najua umeshaanza kuniombea.
 
usisahau kuja na update ya hicho kibabu kinachokukodolea macho LD
 

Rose wewe ni kiboko na mwisho wa njia! Nimecheka hadi nikaanguka!
Tx
 

Ukipona kwa muda gani?
 
Ndio Ivuga, kwa hali ya kawaida huwezi kumkubalia, lakini imagine ka vile unavyomtokea mdada, vile mnavyokua mnaongea, halafu chukulia labda hakutaki.

Kwa haka kababu utamjibu nini? Na yuko kwene mazingira yako daily. Eg ni boss.



Mpe tu wewe mungu si alikupa bureeeee....mpe halafuu muaibishe kuwa hajui mambo mwenyewe atakimbia....ila kama akiwa anayajua mambo utanogewa...
 
hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga
Ana miaka juu ya kumi na nane TAMWA ya nini tena?
 
Kusema ukweli kuna wababa wanajua kusomesha, anakukaba haswaaaa, kila swali anajibu, kila jibu lako ana swali lake. Hivi unaepuka je hapa.


Kamsemee kwa mke wake tuuu ndo jibu
 
Bas nitamkubalia nimchune mpk mvi zake akome siku nyingine haha hahha hahahhaaaaaaaaaa


Kumpa kiss tu SPACIO, kumvulia nguo landcruiser, kula tunda hapo nyumba thatha, taabu ya nini umepewa the KITUMBUA bure na mnyazi MUNGU
 
Mmm MR kutokana na mitego yake ya mipesa unaweza fikiria hivo, afu si unajuaga ee lunch 10000, nauli 10000 daily. Lakini sasa mwenzio anamalizia maisha we ndo kwanza unaanza, akimaloiza na wewe??

Kula Raha mutoto wa kike akimaliya na wewe basi mmemaliya wote kwani utajijua hapo?
 

Kama una miaka 50+ mbona poa tu:smile-big: hujatuambia una umrigani na inaoelekea umeshamkubali :lol:
 
Hivi unajiwekajewekaje mpaka mbaba mtu mzima anakusogelea khaaa.
 
Jamani na mimi mnikumbuke kwenye maombi yenu. This is not a Joke guyz, usiombe ikakupata nibora uskie kwa mwingine utaomba asubuhi isifike ili tu usiende ofsn, tena ukute kama ni boss ambae hana boss wake yeye ndo head of the mission yani huna wa kumshtakia kwa hapo ofsn, then awe na roho mbaya na visasi, na haelewi utajuta kuzaliwa. Im in the same boat jamani na mimi mnikumbuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…