Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Lakini mbona hata wewe ndo mimi huyu huyu...najiongelesha halafu najipa ushauri mwenyewe😀😀😀😀😀
Maisha hayaendi hivyo bro! hayo yote niliyo yasema hapo juu ni ya ukweli 100% nipo tayari kupigwa ban ya maisha!! Ndjabu Da Dude id ni yako! yaani watu niliokuwa niwaheshimu hapa jf wee kwangu ulikuwa rank za juu lakini nilisha ngundua kuwa wew siyo binadamu wa kawaida yaani una ukichaa flani uliye pitiliza viwango vya ukichaa hata ukipelekwa milembe hawawezi chukua watu disaini yako!

 

Nabaki kucheka tu jinsi ulivyopotoka.

Laiti ungejua...
 
Damn! Some days JF is just lit, man. Episode after episode. I guess it's time to make "JFlix and chill" a thing. Mad props to the producers of the show.
 

Get a life!
 
Fuc.k you! Fuc.k off! Fuc.k that!
Kule mwanzo nilisema wew siyo binadmu wa kawaida ona sasa!

Haya yote ni ma id ya mtu mmoja yaani jamaa kawekeza kwenye id! Bado zingine za kike unazotumia humu ndani kuwa datisha wanaume!!



-Ndjabu Da Dude
-Omega Psi Phi
-Floribert Njabu
-Nyani MacCain
-Julius
-OneManArmyMan
-Les Mer
-Nyani Ngabu
-Richard

Wee jamaa ni superpower hapa jf!!

Unacho kifanya bro ni utoto first class!!

Baadae nitaongeza fake id zote zako!!
 
sikujua kuwa watu wazima hupata ADHD?
 
duuuh aisee
 
Mkuu si unajua mjini pagumu tunapiga na day waka!
Aisee Inabidi tuelekezane tu site uliyopo ili nije kuchanganya zege angalau nipate hata hela ya kununua sabuni, Maisha magumu mwanangu
 
Mkuu ugonjwa wa huyo ndugu haujamwanza leo!! Na huko anakoelekea yupo kwenye stage mbaya sana ya kuchanganikiwa!!

Muulize FisadiKuu huo ugonjwa ulimwanza lini huyo bilioner wa fake id hapa jf!

Very interesting sh.it. Itabidi upewe mtaji wa Brazilian hair na baada ya hapo mtaji wa Peruvian hair.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…