Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #261
Hahaha! FisadiKuu na MALCOM LUMUMBA wamejitolea kukusaidia bure bila malipo ubongo wako urudi katika hali ya kawaida naona umeamua kuwapuuza!
Lakini mbona hata wewe ndo mimi huyu huyu...najiongelesha halafu najipa ushauri mwenyewe😀😀😀😀😀