Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwa niaba yangu naomba huyo jamaa mpuuzie usimpe airtime ya kuendelea kuchat nae!! Utajishushia hadhi kuendelea kujibizana nae naona hana point!!
Asante Jambazi...Mzee wa points!....Doh

Ananipa 'airtime'?...Been here for 10 good years leo nije kupewa airtime na huyo jamaa yako ama wewe?...Itakuwa kichekesho
 
Hivi kweli kabisa unaamini mimi ndiye Ndjabu Da Dude?

Mimi siyo huyo jamaa. Hapo mmepotoka mno.

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?

Mwiteni Invisible aje akate mzizi wa fitna.

Kujifanya mnajua ilhali hamjui na hamjui kuwa hamjui ni tatizO kubwa zaidi kuliko hilo ambalo mnadai mimi ninalo.

Narudia tena, mimi sio Ndjabu. Na wala sina tatizo. Tatizo unaweza kuwa nalo wewe. Jiangalie.

Pia, hebu bonyeza basi kitufe cha Report uwaambie kuwa mimi ndo Ndjabu nakuja hapa najitukana mwenyewe halafu najijibu mwenyewe kwa kutumia ID ingine.

Ni report ili waziunganishe hiyo ID ya jamaa na yangu, kama ni kweli mimi ndo yeye.

Au ngoja niwaalike mimi mwenyewe.

Maxence Melo Mike Mushi Invisible Paw AshaDii Cookie JamiiForums

Nyie powers that be, hebu njooni hapa mkate mzizi wa fitna. Eti mimi ndo Ndjabu Da Dude?

Kama mimi ndo yeye basi nipigeni ban ya maisha humu JF.

Si vizuri kuwaacha members wenu wawe kwenye lindi la ujinga namna hii. Njooni muwasaidie kuwafuta ujinga.
 
Asante Jambazi...Mzee wa points!....Doh

Ananipa 'airtime'?...Been here for 10 good years leo nije kupewa airtime na huyo jamaa yako ama wewe?...Itakuwa kichekesho
Hahaaa kaazi kweli kweli Nkwingwa.

Laiti wangejua wala wasingehangaika hivi wanavyohangaika.
 
Sisi tumshauri tu kwamba atafute mtaalamu wa Saikolojia huko aliko.Kujitolea moja kwa moja kumsaidia ni jambo gumu kwa sababu za kuficha ID yake.Ila kiukweli huyu mtu ana matatizo makubwa sana ya kiakili.

Mimi sina tatizo lolote lile la kiakili wewe.

Kudhani mimi ndiye Ndjabu na kujishawishi na kujiaminisha kuwa kweli mimi ndo yeye pasipo hata na ushahidi wowote ule, huenda nyinyi ndo wenye matatizo.

Huenda kweli mnasumbuliwa na Ngabu Derangement Syndrome.

Mnadai tu kuwa mimi ndo Ndjabu. Ushahidi wenu uko wapi?

Msiniletee threads za miaka ya nyuma ambazo mimi na yeye tulishiriki halafu mdai huo ndo ushahidi. Huo si ushahidi.

Mi na huyu jamaa tumetokea mbali, tokea 2005 kule bcstimes.com.

Kwenye saikolojia kuna dhana huitwa 'projection'. Angalia usije ukawa una project matatizo yako kwangu.

Jiangalie.
 
Mkuu usijisumbue kubishana na Dada yangu Nyani Ngabu saizi ndoa yake inampa stress sana kifupi kichwan kwake kupo ovyo kwa kipindi hiki

Aahahahaaaa nyie watu mnachekesha kweli.

Wenzio wanadai huyo Ndjabu ndo mimi.

Halafu wewe unakuja na kuanza kumpa ushauri eti asijisumbue kubishana na mimi.

Kama yeye ndo mimi na mimi ndo yeye, unanipa ushauri wa nini sasaπŸ˜€?
 
Mkuu huyu Ndjabu Da Dude ndiyo huyu huyu Nyani Ngabu id zake soma page za nyuma ndiyo utaelewa!!


Anajifariji kwa kujijibu mwenyewe ili mods wasimshtukie! Wakimshtukia wanataiunganisha hiyo id!!

You are just saying he is me.

But saying it so doesn't make it so.

Where is your evidence that actually proves he is me?

Wewe ni mjinga kupindukia na hujui kama uko mjinga kupindukia.
 
Flavian yupo juu sana na anajituma kwa kweli, apewe sifa zake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna sehemu nimeingilia ndio maana hata mi sijawah kukukoti hapo nimemkoti Ngabu the don
 
Hivi kwa siku huwa unatumia masaa mangapi kuniwaza?

Halafu ushaniota mara ngapi ndotoni wewe?

La mwisho, naona huwa unafurahi sana nikikukwoti. Utamu wa kukwotiwa na Ngabu ni zaidi ya kufika kileleni.

Haya endelea kuniwaza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa mfano huo ulioutoa wa watu A na B...Na ukiangalia unayoyaaandika kwenye 'thread' hii ambayo kimsingi ni 'none of your damn business'....Ni dhahiri wewe ni Mwendawazimu.
Kaka naomba uje pm ,umenifurahisha sanaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…