Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwa niaba yangu naomba huyo jamaa mpuuzie usimpe airtime ya kuendelea kuchat nae!! Utajishushia hadhi kuendelea kujibizana nae naona hana point!!
Asante Jambazi...Mzee wa points!....Doh

Ananipa 'airtime'?...Been here for 10 good years leo nije kupewa airtime na huyo jamaa yako ama wewe?...Itakuwa kichekesho
 
WACHA NIYASEME:

Mkuu NN katika watu niliowaheshimu na kuwakubali hapa JF hata kabla ya kujiunga ni wewe.Nilidhani una fikra za kiutu uzima zilizokomaa.Kila ulichokipost hapa nilikifungua na kusoma nikiamini ni mawazo chanya yenye kujenga.

Lakini kwa huu utumbo ulioufanya umejishushia heshima sana! huna tofauti na wale mademu wa CBE waliopata DIV.5. Afadhali wao wanaishi kwenye reality ya ujinga wao maana inakuwa rahisi kuwasaidia.

Nadhani una matatizo makubwa sana kuliko unavyojua wewe ama tunavyoweza kudhania.Kwanza mada zako za hivi karibuni umekuwa na msimamo wa kuyumba mno.Huna uti wa mgongo wa kusimama peke yako kifikra.

Kubwa zaidi ni wewe kujitukana matusi ya nguoni na kumuhusisha Mama yako.Unawezaje kutumia ID nyingine kujitukana? au ilikuwa ngao ya kukwepa upinzani wa baadhi ya wachangiaji kwenye mada yako[ambayo nayo ni upuuzi mtupu]?.Ulifikiri watu wangejiunga na ID2 kukutukana kwenye ID1 ili hali wewe ukiwacheka nyuma ya PC na Tab.?....Elewa kitu kimoja, unaweza kuficha ID ila siyo mawazo.

Jambo lingine, hizi tuhuma ulizorushiwa na baadhi ya wachangiaji kama Jambazi , FisadiKuu n.k za kwamba una matatizo ya kiakili huenda zikawa kweli.Kwa jinsi ulivyokuwa unajamba jamba hapa jukwaani inaonesha una genes za ushoga zilizo active.Ndizo zinazo dictate ubongo wako na kukufanya uwaze ushoga kwa kiasi kikubwa.Kuwa na gene za ushoga kwenye mwili wa ME lazima upate mkanganyiko wa kiakili, because it is an existence of a spirit in a wrong body.

USHAURI WANGU:
Jitahidi kuwaona wataalumu wa psychology na washauri wa magonjwa ya akili wakusaidie.Najua unapinga maono ya wajumbe lakini huo ndio uhalisia.UNA ACTIVE GENES ZA USHOGA ZENYE KUKUSABABISHIA MENTAL DISTURBANCE! JITAHIDI KUWAONA PSYCHIATRISTS.
Hivi kweli kabisa unaamini mimi ndiye Ndjabu Da Dude?

Mimi siyo huyo jamaa. Hapo mmepotoka mno.

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?

Mwiteni Invisible aje akate mzizi wa fitna.

Kujifanya mnajua ilhali hamjui na hamjui kuwa hamjui ni tatizO kubwa zaidi kuliko hilo ambalo mnadai mimi ninalo.

Narudia tena, mimi sio Ndjabu. Na wala sina tatizo. Tatizo unaweza kuwa nalo wewe. Jiangalie.

Pia, hebu bonyeza basi kitufe cha Report uwaambie kuwa mimi ndo Ndjabu nakuja hapa najitukana mwenyewe halafu najijibu mwenyewe kwa kutumia ID ingine.

Ni report ili waziunganishe hiyo ID ya jamaa na yangu, kama ni kweli mimi ndo yeye.

Au ngoja niwaalike mimi mwenyewe.

Maxence Melo Mike Mushi Invisible Paw AshaDii Cookie JamiiForums

Nyie powers that be, hebu njooni hapa mkate mzizi wa fitna. Eti mimi ndo Ndjabu Da Dude?

Kama mimi ndo yeye basi nipigeni ban ya maisha humu JF.

Si vizuri kuwaacha members wenu wawe kwenye lindi la ujinga namna hii. Njooni muwasaidie kuwafuta ujinga.
 
Asante Jambazi...Mzee wa points!....Doh

Ananipa 'airtime'?...Been here for 10 good years leo nije kupewa airtime na huyo jamaa yako ama wewe?...Itakuwa kichekesho
Hahaaa kaazi kweli kweli Nkwingwa.

Laiti wangejua wala wasingehangaika hivi wanavyohangaika.
 
Sisi tumshauri tu kwamba atafute mtaalamu wa Saikolojia huko aliko.Kujitolea moja kwa moja kumsaidia ni jambo gumu kwa sababu za kuficha ID yake.Ila kiukweli huyu mtu ana matatizo makubwa sana ya kiakili.

Mimi sina tatizo lolote lile la kiakili wewe.

Kudhani mimi ndiye Ndjabu na kujishawishi na kujiaminisha kuwa kweli mimi ndo yeye pasipo hata na ushahidi wowote ule, huenda nyinyi ndo wenye matatizo.

Huenda kweli mnasumbuliwa na Ngabu Derangement Syndrome.

Mnadai tu kuwa mimi ndo Ndjabu. Ushahidi wenu uko wapi?

Msiniletee threads za miaka ya nyuma ambazo mimi na yeye tulishiriki halafu mdai huo ndo ushahidi. Huo si ushahidi.

Mi na huyu jamaa tumetokea mbali, tokea 2005 kule bcstimes.com.

Kwenye saikolojia kuna dhana huitwa 'projection'. Angalia usije ukawa una project matatizo yako kwangu.

Jiangalie.
 
Mkuu usijisumbue kubishana na Dada yangu Nyani Ngabu saizi ndoa yake inampa stress sana kifupi kichwan kwake kupo ovyo kwa kipindi hiki

Aahahahaaaa nyie watu mnachekesha kweli.

Wenzio wanadai huyo Ndjabu ndo mimi.

Halafu wewe unakuja na kuanza kumpa ushauri eti asijisumbue kubishana na mimi.

Kama yeye ndo mimi na mimi ndo yeye, unanipa ushauri wa nini sasa😀?
 
Mkuu huyu Ndjabu Da Dude ndiyo huyu huyu Nyani Ngabu id zake soma page za nyuma ndiyo utaelewa!!


Anajifariji kwa kujijibu mwenyewe ili mods wasimshtukie! Wakimshtukia wanataiunganisha hiyo id!!

You are just saying he is me.

But saying it so doesn't make it so.

Where is your evidence that actually proves he is me?

Wewe ni mjinga kupindukia na hujui kama uko mjinga kupindukia.
 
SICKNESS IS NOT SOMETHING TO BE ASHAMED OF,
What you are experiencing now is called Paranoia Schizophrenia its normal to many of my patients.
Its symptoms are accompanied with an outburst of rage and fear of an impending danger which is not actual.


And this psychological disorder is very prevalent to people who didn't have a good childhood due reasons like vicious poverty, child abuse, (DIVORCED PARENTS 😀😀😀), rejection etc so in adulthood their brains are trying to remedy up all the abuse they have experienced during childhood. A good example is when they project masculinity, wear expensive clothes, try to hand out with famous people and even to cause violence or unnecessary commotion just to put a veneer to their weaknesses.

But i promise you we are going to get through this.
Just bear with me a little more and let my therapy work.




[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe dada nikuombe tu usiingilie yasiyokuhusu. Mimi na wewe hatujawahi kuwa na matani hata siku nanapenda iendelee kuwa hivyo.
Be a Lady Fanya yako, na nikuombe siku nyingine ukiona Mimi nataniana na Ngabu ukae pembeni au pita tu.
Nadhani tumeelewana.
Kuna sehemu nimeingilia ndio maana hata mi sijawah kukukoti hapo nimemkoti Ngabu the don
 
Unajua mtu mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumfananisha binadamu na Kunguru.
Mpaka awe anaona maluweluwe (Delusional) kama wewe hivyo nakuelewa Ngabu wala sikuchukii.
Wagonjwa wengine kule Congo walishawahi hadi kunitishia bunduki lakini nikawavumilia.
Hivi kwa siku huwa unatumia masaa mangapi kuniwaza?

Halafu ushaniota mara ngapi ndotoni wewe?

La mwisho, naona huwa unafurahi sana nikikukwoti. Utamu wa kukwotiwa na Ngabu ni zaidi ya kufika kileleni.

Haya endelea kuniwaza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa mfano huo ulioutoa wa watu A na B...Na ukiangalia unayoyaaandika kwenye 'thread' hii ambayo kimsingi ni 'none of your damn business'....Ni dhahiri wewe ni Mwendawazimu.
Kaka naomba uje pm ,umenifurahisha sanaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom