WACHA NIYASEME:
Mkuu NN katika watu niliowaheshimu na kuwakubali hapa JF hata kabla ya kujiunga ni wewe.Nilidhani una fikra za kiutu uzima zilizokomaa.Kila ulichokipost hapa nilikifungua na kusoma nikiamini ni mawazo chanya yenye kujenga.
Lakini kwa huu utumbo ulioufanya umejishushia heshima sana! huna tofauti na wale mademu wa CBE waliopata DIV.5. Afadhali wao wanaishi kwenye reality ya ujinga wao maana inakuwa rahisi kuwasaidia.
Nadhani una matatizo makubwa sana kuliko unavyojua wewe ama tunavyoweza kudhania.Kwanza mada zako za hivi karibuni umekuwa na msimamo wa kuyumba mno.Huna uti wa mgongo wa kusimama peke yako kifikra.
Kubwa zaidi ni wewe kujitukana matusi ya nguoni na kumuhusisha Mama yako.Unawezaje kutumia ID nyingine kujitukana? au ilikuwa ngao ya kukwepa upinzani wa baadhi ya wachangiaji kwenye mada yako[ambayo nayo ni upuuzi mtupu]?.Ulifikiri watu wangejiunga na ID2 kukutukana kwenye ID1 ili hali wewe ukiwacheka nyuma ya PC na Tab.?....Elewa kitu kimoja, unaweza kuficha ID ila siyo mawazo.
Jambo lingine, hizi tuhuma ulizorushiwa na baadhi ya wachangiaji kama
Jambazi ,
FisadiKuu n.k za kwamba una matatizo ya kiakili huenda zikawa kweli.Kwa jinsi ulivyokuwa unajamba jamba hapa jukwaani inaonesha una genes za ushoga zilizo active.Ndizo zinazo dictate ubongo wako na kukufanya uwaze ushoga kwa kiasi kikubwa.Kuwa na gene za ushoga kwenye mwili wa ME lazima upate mkanganyiko wa kiakili, because it is an existence of a spirit in a wrong body.
USHAURI WANGU:
Jitahidi kuwaona wataalumu wa psychology na washauri wa magonjwa ya akili wakusaidie.Najua unapinga maono ya wajumbe lakini huo ndio uhalisia.UNA ACTIVE GENES ZA USHOGA ZENYE KUKUSABABISHIA MENTAL DISTURBANCE! JITAHIDI KUWAONA PSYCHIATRISTS.