Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.

Hahaa...you got jokes!
 
Mkuu we kubali ile id ni yako! thread yako ilikuwa nzuri ila pale ulipo kuja kuingiza ile nyingine wajanja wakakudaka!

Siwezi kukubali imaginations na hallucinations zako.

Dalili za kusumbuliwa na maradhi ya maruerue ni ku imagine mambo na kujiaminisha hayo unayo ya imagine ni ya kweli.

Kwa hiyo wewe jiaminishe tu kuwa hiyo ID ni yangu, hilo sina tatizo nalo.

I'm used to you, by now. So be my guest and knock yourself out.
 
Ubaya mwingine ni kutumia id nyingine na kuji quote na kujitukana hapo ndiyo nilipo mwona kuwa jamaa ni kichwa box!
 
Id ni yako ulichokuwa unakifanya siyo poa wala nini! unajiquote unajitukana tena! tena matusi ya nguoni dah!

Halafu ushamba huo kuogea kingereza hakiwezi kukutoa kwenye kundi la washamba wee jamaa
 
Id ni yako ulichokuwa unakifanya siyo poa wala nini! unajiquote unajitukana tena! tena matusi ya nguoni dah!

Halafu ushamba huo kuogea kingereza hakiwezi kukutoa kwenye kundi la washamba wee jamaa

Hiyo ID sio yangu.

Kama unadai ni yangu thibitisha.

Ukishindwa kuthibitisha utathibitisha kuwa unasumbuliwa na maradhi ya maruerue ya Ngabu.

Angalia tu usije niota usiku nakukimbiza halafu uje unianzishie thread humu...
 
Sikuwa nafahamu kuwa Flaviana ni model wa mavazi ya Ralph Lauren. Hiyo ni bonge la dili. Na nampongeza sana kwa kupenya mpaka kufika kwa RL.

Halafu mtu mwingine anathubutu kusema eti (Flaviana) si kajivalia tu kinguo kwa raha zake. Inaonyesha ni jinsi gani mtu hana clue na mambo ya mitindo na mavazi. Kiblauz cha Ralph Lauren au kigauni cha Versace anakilinganisha na cha kariakoo.

Mwingine anahoji eti watanzania tunafaidika nini.... Seriously???

Inashangaza....
 
Wee inaonekana utakuwa na msongo wa mawazo uliopitiliza viwango vyake!!

Nimeishi na wahaya wenzako sijawahi kukutana na mwenye kichwa kibovu kama chako

Oh so leo nimekuwa Mhaya?

Y'all are hilariousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Angalia nawe usije ambiwa wewe ndo mimi na umejinukuu mwenyewe na kujiongelesha.

Kuna vituko kweli humu.
 
Batty boy, kazi anayo. Na jinsi anavyojiona mjuaji na mbishi, nasema MO' FAYA!! Habanduki hapa hadi asubuhi Kudaadadeki!!
 
I don't know you.

I don't care a lick about you.

Couldn't care less what you think of me.

Don't need your validation or your stamp of approval.

Now beat it.

Mapovu daima yanamwagika pale pombe ikikolea. Pole zako na hiyo Ralph Lauren, by the way...kijijini kwenu hakuna maji safi, Ralph Lauren na huyo demu mbongo watakusaidia vipi ili uwaokoe nduguzo?
 
Mapovu daima yanamwagika pale pombe ikikolea. Pole zako na hiyo Ralph Lauren, by the way...kijijini kwenu hakuna maji safi, Ralph Lauren na huyo demu mbongo watakusaidia vipi ili uwaokoe nduguzo?

Thibitisha kijijini kwetu hakuna maji safi.
 
Hata hii id ya Ngabu ni yangu nimekupa password nabadilisha kuanzia sasa"homa ya ngabu kalii sana
 
Kabisa yaani na ndo maana wengine hata siwajibu kwa sababu ni upuuzi wa hali ya juu.

Ipo siku hata wao wenyewe watadhani wao ndo mimi!
Ahhahahaah hao hao wanakufatilia kina unachopost humu [emoji23][emoji23][emoji23],,,ila mi nakupenda tu[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…