Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #141
Yes nafurahi kuniuliza swali zuri. Ni hivi, nimekuja kukuhamsha na kukuondoa ushamba na ujinga uliokithiri kichwani mwako. Huyo mdada pengine hakuhusu na wala hakuwakilishi wewe, unajivunia nini hapa kama si ujinga kijana Nyani Ngabu? I thought you were smart than that kumbe ni wale wale tu. Shame on you kijana, nilikuamini sana ila sasa basi tena.
Hahaa...you got jokes!