Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Sema wee na kaka poa mkiwa mnajivinjari katika harakati za fall window shopping. Ma Gay mnajulikana kwa kujisifu. Ukweli ni kuwa una pesa ya kununua HEAVILY discounted Ralph Lauren hat na soksi tu dizaini ya 75% off original price.
 
Huu uzi umeshaharibiwa na WASHAMBA!!
Tatizo wanajidai wajuaji kumbe hamna kitu...Mchukue muda kidogo hata m google mjue Ralph Lauren ni kitu gani na ina utajiri na ushawishi kiasi gani duniani ndo mje mjambejambe hapa! Tatizo lenu mmeishia gongo la Mboto tu hamjui yanayoendelea duniani ndo maana hamumwelewi mleta mada, na bado mnajifanya wajuaji... Labda mtatoka kidogo sasa kwani Bombadier zitaanza kuruka keshokutwa...........I'm out
 
Huu uzi umeshaharibiwa na WASHAMBA!!
Tatizo wanajidai wajuaji kumbe hamna kitu...Mchukue muda kidogo hata m google mjue Ralph Lauren ni kitu gani na ina utajiri na ushawishi kiasi gani duniani ndo mje mjambejambe hapa! Tatizo lenu mmeishia gongo la Mboto tu hamjui yanayoendelea duniani ndo maana hamumwelewi mleta mada, na bado mnajifanya wajuaji...SHENZY TYPE!! Labda mtatoka kidogo sasa kwani Bombadier zitaanza kuruka keshokutwa...........I'm out
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wewe ndo mshamba unayedhani watu wa JF hawafahamu Ralph Lauren brand...

Kinachogomba hapa ni Mtanzana kuendelea kujisifu kabila lake sijui mkoa wake kama vile ameenda shopping Tandale akamkuta huyo msukuma mwenzake huko!
 
Kinachogomba hapa ni Mtanzana kuendelea kujisifu kabila lake sijui mkoa wake kama vile ameenda shopping Tandale akamkuta huyo msukuma mwenzake huko!

Hahahaaa pole sana maana huna uwezalo kufanya juu ya hilo.
 
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.

Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.

Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.

Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.

Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.

Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top

20161011_RLNA_Lrnshine_3.jpg
pPOLO2-24767905_alternate2_v400.jpg

pPOLO2-24767905_alternate1_t50.jpg
pPOLO2-24767905_alternate8_t50.jpg
[emoji7] [emoji7] Beutiful
 
For the fall season ya bongo (maana hata bongo majani ya miti yameanza kudondoka), watu wanasubiria wajue kama ile bollioni 6 iliyookolewa jana, kama kweli itarudishwa na majamaa ili ikafanyiwe "shopping" ya dawa mahospitalini
 
Naona sasa wasukuma wanakua kama wakenya, Kila kitu kizuri ni Chao duu, katoto ka kihaya hako, ohooooo, shauri yenu wasukuma siku hizi mnasifa za kijinga sana
 
Hii ingependeza zaidi;

Nilifurahi sana kuona mdada wa nyumbani kabisa [Tanzania] ...

Unless hii window shopping mlikuwa mnafanya Kariakoo labda huenda thread yako ingeleta mantiki kidogo!
Mentor takuchapa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom