brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Sasa wewe kupenda mwanamke mnene, wambamba wake umekuaje tatizo?napenda mwanamke kibonge mwenye wezere kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe kupenda mwanamke mnene, wambamba wake umekuaje tatizo?napenda mwanamke kibonge mwenye wezere kubwa.
Kwani nilikujibu wewe?Sasa wewe kupenda mwanamke mnene, wambamba wake umekuaje tatizo?
Nimecheka sana! Umenikumbusha Kuna kuna mshkaji wangu tulikuwa tunapiga story na mzee wake, mzee wake kasema angekuwa anaoa kipindi hiki angeoa demu mkali, mtoto wake akamwambia mbona mzee demu wako ni mkali tu hana shida! Siku hyo nilicheka sana!hapana mkuu, ila demu wangu mkali mpaka naogopa
Gotta admit I love b.itch asses, like your mom's. Having said that, mind splainin' your penchant for "sucking" like in "sucker"?
Ni kweli kabisa najipendekeza kwa FlavianaKiswahili ndo kitanitoa kwenye kundi la washamba?
Ushamba wangu unakukosesha furaha au mlo?
Acha kujipendekeza.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Huu uzi umeshaharibiwa na WASHAMBA!!
Tatizo wanajidai wajuaji kumbe hamna kitu...Mchukue muda kidogo hata m google mjue Ralph Lauren ni kitu gani na ina utajiri na ushawishi kiasi gani duniani ndo mje mjambejambe hapa! Tatizo lenu mmeishia gongo la Mboto tu hamjui yanayoendelea duniani ndo maana hamumwelewi mleta mada, na bado mnajifanya wajuaji...SHENZY TYPE!! Labda mtatoka kidogo sasa kwani Bombadier zitaanza kuruka keshokutwa...........I'm out
Huu uzi umeshaharibiwa na WASHAMBA!!

Kinachogomba hapa ni Mtanzana kuendelea kujisifu kabila lake sijui mkoa wake kama vile ameenda shopping Tandale akamkuta huyo msukuma mwenzake huko!
Wewe unajipendekeza kwa Flaviana
[emoji7] [emoji7] BeutifulMimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Mentor takuchapa!!!Hii ingependeza zaidi;
Nilifurahi sana kuona mdada wa nyumbani kabisa [Tanzania] ...
Unless hii window shopping mlikuwa mnafanya Kariakoo labda huenda thread yako ingeleta mantiki kidogo!