sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
Umebipu kwanza uone je akipata ujumbe ata react vipi. Kama hayumo humu ataupataje ujumbe?, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
ahsante kwa ushauli mkuu, ntaufanyia kazi. liwalo na liwe!
Mkuu hawa vijana wakisasa hawana mbinu kabisa pamoja na soda ya coka kuwalahisishia kwa kuweka vimaneno vya kuanzishia mazungumzo lakini wapi.KAMA TAA INATONGOZA? UJINGA HUU
!
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo wanaojiita wanaume hao mkuuKAMA TAA INATONGOZA? UJINGA HUU
!
thanks= ushauri
ni kweli mkuu, unajua unaweza watemea madini hata watu 100, lkn kuna mtu unajikuta tu maneno yamekauka!Umebipu kwanza uone je akipata ujumbe ata react vipi. Kama hayumo humu ataupataje ujumbe?
Jiamini mzee utapo muona hapohapo tema madini. Usijicheleweshe tunao muona niwengi
KAMA TAA INATONGOZA? UJINGA HUU
!
Mkuu kinachokuwekea giza ninini unashindwa hata kumchombeza kwa salamu.ni kweli mkuu, unajua unaweza watemea madini hata watu 100, lkn kuna mtu unajikuta tu maneno yamekauka!
salam namsalimia, akijibu ndo basi tena, anakuwa serious sanaMkuu kinachokuwekea giza ninini unashindwa hata kumchomboza kwa salamu.
Huo u serious wake ni njia ya yeye kujilinda wala usikutishe mkuu.salam namsalimia, akijibu ndo basi tena, anakuwa serious sana
Hahaaaaaaa maybe!!Sio wewe kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo wanaojiita wanaume hao mkuu
ahsante kwa ushauli mkuu, ntaufanyia kazi. liwalo na liwe!