Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.

KAMA TAA INATONGOZA? UJINGA HUU
!
 
, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
Umebipu kwanza uone je akipata ujumbe ata react vipi. Kama hayumo humu ataupataje ujumbe?
Jiamini mzee utapo muona hapohapo tema madini. Usijicheleweshe tunao muona niwengi
 
KAMA TAA INATONGOZA? UJINGA HUU
!
Mkuu hawa vijana wakisasa hawana mbinu kabisa pamoja na soda ya coka kuwalahisishia kwa kuweka vimaneno vya kuanzishia mazungumzo lakini wapi.
 
Umebipu kwanza uone je akipata ujumbe ata react vipi. Kama hayumo humu ataupataje ujumbe?
Jiamini mzee utapo muona hapohapo tema madini. Usijicheleweshe tunao muona niwengi
ni kweli mkuu, unajua unaweza watemea madini hata watu 100, lkn kuna mtu unajikuta tu maneno yamekauka!
 
salam namsalimia, akijibu ndo basi tena, anakuwa serious sana
Huo u serious wake ni njia ya yeye kujilinda wala usikutishe mkuu.
Baada ya kumsalimia embu jaribu kumsifia kitu chochote mfano nywele au nguo.
 
Watu wa aina yako mngekuwa files kwenye window, ningebonyeza shift+delete Ok.
 
huwa hata kama nawahi wapi nikimuona mwanamke anadrive alaf mzuri atakapo simama na mimi ndipo ninaposimamia lazima tuongee tu
 
Back
Top Bottom