Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa ila Miguna ni hatari ile debate yake na Esther Passaris ilikuwa hatariHiyo ni alama ya mtu anayejitambua. 😂😂😂.
Huwezi mdahalo na mtu utakayemshinda kirahisi.
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.
Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp namba 0766662533 na waje na vitambulisho vyao, mwisho wa kuingia ukumbini ni saa mbili kamili usiku.
Pia soma: - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
NB: Mpaka muda huu wagombea waliothibitisha kushiriki mdahalo ni hao wawili wanaonekana pichani, KARIBUNI SANA.