Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

Joseph Mbilinyi aka Sugu ameomba Mdahalo mwingine na Mchungaji Msigwa kwa Lugha ya Malkia au mabeberu

Sugu ameomba Mdahalo wa Kiingereza Ukurasani X

Chadema ni full vituko

Nawatakieni Dominica Njema 😄
 
Huyu sugu atakuwa anatumiwa na beberujike,kuweni macho naye!
 
Kwanza niwapongeze walioandaa ule mdahalo kati ya Sugu na Mchungaji Msigwa. Kila mmoja ametoa maoni yake jinsi watakavyosimamia maendeleo ya Kanda ya Nyasa. Hongereni sana wagombea wa Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.

Midahalo kama hii inatakiwa iwe inafanyika pindi tunataka kuwapima wagombea kwa uwezo wao wa kutuongoza wakinadi sera zao.

Nashauri kwenye uchaguzi wa Mwaka 2025 wale watakaoteuliwa na Vyama vyao na hatimaye kupitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa nafasi ya RAIS wawe na mdahalo ili sisi wananchi tuwapime kama wanafaa kutuongoza kwa kunadi sera za vyama vyao.
 
Ulishawahi kua mbishi Hadi unabishana na wewe binafsi

Kushudia hayo watizame chadema ni kama kundi flani ivi la mambumbumbu yanayozozana
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu ameomba Mdahalo mwingine na Mchungaji Msigwa kwa Lugha ya Malkia au mabeberu

Sugu ameomba Mdahalo wa Kiingereza Ukurasani X

Chadema ni full vituko

Nawatakieni Dominica Njema 😄
MSIKILIZE ANSBERT NGURUMO AKIWAONYA CHADEMA NA WATU KAMA HAO
 
Mbona Kanda zingine wagombea ahwakupewa fursa ya midahalo kama hiyo ndani ya Chadema
 

Sio Kila chama kinaweza mdahalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…