Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Hiyo shule haijamsaidia,kuwakumbatia wake covid-19 bungeni hata baada ya mahakama kuu kukubali kuwa wale siyo wanachama wa Chadema tena ni ukiukwaji wa Katiba. Na kuhusu ulokole yule ni mwabudu shetani mzuri tu.Tulia kaenda shule halafu Mlokole Sugu atakalishwa chini 😂😂