Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

Sasa unatuletea story juu juu hutuambii wameongea nini hao wagombea wenu?
 
Huu mtego mnataka kumtega Samia kwa Lissu hawezi kuukubali
CCM hakihitaji mdahalo inachohitaji ni kuonyesha wananchi imefanya Nini na wananchi wanaona

Hizo porojo za maneno wabaki nazo upinzani ambao hawana Cha kuonyesha wamewafanyia Nini wananchi.Wawapige porojo za maneno

Chama tawala hakihitaji porojo za maneno ni vitendo kuonyesha kilichofanya Shule Ile pale,hospitali Ile pale,Barabara Ile pale nk

Porojo abaki nazo Lisu
 
Unataka chama cha upinzani waoneshe shule waliyojenga?

Serekali kujenga shule na hospitali ni jambo la kujivunia au ni wajibu wao?
 
1716709758455.png
AKILI KUBWA! 👊😅✌️
 
Baada ya huu mdahalo, nimejiuliza na naomba niulize hapa; Itakuwaje ukiandaliwa mdahalo kati ya Sugu na Tulia Mbunge wa Mbeya mjini?!

Maoni yangu, Sugu anahitaji kujifunza zaidi na kupunguza mihemko.
 
Back
Top Bottom