Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

Baada ya huu mdahalo, nimejiuliza na naomba niulize hapa; Itakuwaje ukiandaliwa mdahalo kati ya Sugu na Tulia Mbunge wa Mbeya mjini?!

Maoni yangu, Sugu anahitaji kujifunza zaidi na kupunguza mihemko.
Mbona Sugu yupo vizuri, huyo Tulia ana lipi jipya kumzidi Sugu?. Kwenye siasa kila mtu ana approach yake.
 
Punguza dhihaka kwa imani za watu. Nuru na Giza havikai pamoja. Mtu akishakuwa mchawi huyo automatically hajaokoka maana anatumikia ulimwengu wa Giza. Jifunze nidhamu.
Unaelewa maana ya uchawi lakini? πŸ˜‚
 


Philosopher wa nini huyo msigwa aliyekuwa anaunga wamassai kufukuzwa ngorongoro

Philosopher lazima uwe na wisdom na kuthamini utu wa watu wengine pamoja na kuwa logically.
 
Mdahalo wa kanda ya Kaskazini lini?Au midahalo ni wa kuja tu? Uchaguzi wa Nyasa umefanyiwa mdahalo wa sababu ya waliokutana.Wote waliwahi kuwa wabunge hivyo hamna dhaifu.Kijana Pambalu maskini kaja na chaki kwenye kampeini.Kajitoa dakika za mwisho kwa madai ya rushwa.
Kaskazini kuna wenyewe sio ajabu akawa mwenyewe.
 
ACHA kulia Lia WEWE mama
 
Nimetazama mjadala nikazama kwenye MAONI ya social media , Msigwa anastahili kiti , Sugu kiufupi ni mhuni tu hatakiwi kuongoza Kanda , Kura yangu kwa Msigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…