Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Swali kuhusu ajira kwa vijana......na utaratibu wa kupiga kura na kutunza kura zisiibiwe na zikiibiwa Chadema watafanya nini.
 
umeme umerudi shinyanga thanks jf for updates sasa nipo naangalia live on tv
 
jamani nahisi kuna hujuma mbona hiyo site ya bongo radio haipatikani jamani aaaaarrrhghhh
 
huyu ameuliza swali sio yule mzee wa UD Dr.Rwaitama??
 
Inatia raha eeeehh, MUNGU ametuona mwaka huu, SIO mwaka wa shetani tena heeheeheeeeee, mbavu zangu mie jamaa leo ataomba apewe ugali kwa mlenda!!!!!

Mi nacheka sana leo
 
Swali la mgombea binafsi limepigwa chini.
 
duu huyu mama Mwakitwange mkali sanaaaaaaaaaaaaaaaa.Na hawa ni mamluki wa CCM
 
Wekeni majibu hapa. nipo kona mbaya sipati tivii wala radio.
 
dah,there is no idea of how i should say kwamba he deserve to lead our country
 
Nadhani wote mnapata mambo LIVE, mwenye tatizo la kuunganisha Bongo Radio atuambie na tutamsaidia

Nimefanya jitihada zote ili nipate kuunganishwa bila mafanikio. Kama unaweza kuniunganisha nitashukuru
 
ubabaishaji wa tra na ongezeko la mapato swali kwa dk slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…