Anaongoza vizuri mdahalo!duu huyu mama Mwakitwange mkali sanaaaaaaaaaaaaaaaa.Na hawa ni mamluki wa CCM
hivi kuna pension za wakulima ...mhhh
huyu mwanadada nni nani?yupo makini kweli
big up sana
Ahahahaahahh nadhani hilo litafikiriwa akiingia ikulu.hivi kuna pension za wakulima ...mhhh
Unamaanisha Green Guard?Mkumbuke kwamba kuna Green card humu , natumaini hawataanza kuchakachua huo mdahalo
Ahahahaahahh nadhani hilo litafikiriwa akiingia ikulu.
Angekuwa Kikwete anachekacheka au presha zingekuwa zimeshampanda.anatoa live bila chenga