Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Swali
Jamaa anasema mimi ni mwanachama mfu wa CCM, je CCM ikiondoka hatutapata matatizo?
Swali
Watanzania Vijana Serikali yako itafanya nini juu ya ajira, ni mipango gani utafanya ukienda ikulu, pili, tuna experience kuwa chama kilichoko madarakani kina utaratibu mbaya jinsi ya kutunza kura, je mtahakikishaje hamuibiwi kura? Mmeweka mikakati gani?

Maswali yanaulizwa yanayofanana na yaliyokwisha ulizwa, kuna watu kama wane hivi wote wameambia no, the question has been asked before..
Tunaendelea ……
 
duhh wachakachuaji wa vyeti ..uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Prof. Azaveli anasema yeye ni mwanachama mfu. Ametaka wazi je ni wangapi wafu wengine ambao wako kimya.
 
dr slaa afunika kwenye mdahalo leo kwenye ITV. watu watokwa na machozi ya furaha na wapata matumaini Tz yenye neema inakuja
 
Asasi za kiraia kunyanyaswa na serikali, kasema serikali yake itazilea vizuri zile zilizo makini.
 
Mkumbuke kwamba kuna Green card humu , natumaini hawataanza kuchakachua huo mdahalo
 
Ahahahahaahahahh ni maafa kuendelea kuwa na CCM, hapo dakta kaua.
 
Duh jamaa ni kipanga ile mbaya. Namshukuru Mungu kwa huyu mtu na watanzania kwa kukubali kubadilika.
 
Sijakupata kabisa mkuu wangu.
weka paragraph tukusome kaka/ dada
 
Back
Top Bottom