Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
pigia ndugu zako wote waambie kila anayempiga kura sahihi unamtumia zawadi....mi niko mtoni lakini kwa hali hii nashawishika kurudi kupiga kura...aaaaaaaaaya bongo redio imekatika
mkuu ushakuwa Daktari ? Tangia lini mwenzangu
Hosea akikusoma umeumia wewepigia ndugu zako wote waambie kila anayempiga kura sahihi unamtumia zawadi....
ushawishi upo, na unawezekana
Sidhani. Ila nahisi tbc na wao wataanzisha mdahalo wao na Mkwere tena wataandaa maswali ya kum'feva.Kesho mtasikia ITV inatishiwa kufungiwa kwa kutoa habari zinaziodhalilisha serikali au sababu yeyote ile.
Take my words
Atakuwa ICU presha imempanda na malaria sugu yake....Malaria Suguuuuuuuuu uko wapi jamani hahahahahahahhhaaaa aibuuuuuuuu
Itakuwa lini hiyo...........lakini hana jipya hata wakimfeva.Sidhani. Ila nahisi tbc na wao wataanzisha mdahalo wao na Mkwere tena wataandaa maswali ya kum'feva.
Udokta wa Heshima Mkuu
Na huenda kakimbizwa ICU!malaria sugu atakuwa kazimia kwa sasa
mawaziri watatoka nje ya bunge. Hili litaondoa uteuzi kwa uswahiba na kufahamiana. Hakuna tija. Tunakosa viongozi waadilifu.
ukichunguza kwa makini unagundua kuwa mdahalo huu umeandaliwa na watu wenye uchungu na nchi hii. Wanajua fika kuwa dr. Slaa anafaa kuwa rais wa nchi hii na ccm iachie ngazi. Wameandaa ili kutujulisha watanzania ya kuwa rais wenu ni huyu hapa, anawafaa mchagueni. Watanzania tusifanye makosa tena ya kuwachagua mafisadi wa ccm.
Tunashukuru sana waandaaji wa mdahalo huu na wadau mliotupa updates ya nini kilichojiri mdahaloni. Asanteni sana.
yeye hatumi zawadi kwa ndugu zake wakifaulu??imi natuma, kwani nasomesha nduu... hata kugundua kura sahihi ni elimu pia, tena ya uraia... ndio maana nikasema kura sahihiHosea akikusoma umeumia wewe