Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

Swali, Tuhuma za kwenye kampeni zimejaa mambo ya Udini na ukabila, je Chama chako au wewe huoni kwamba unahusishwa moja kwa moja?
Dr. anasema Tanzania haina dini, ila watu wake wana dini zao, ni jukumu la Serikali kumlinda kila mtanzania alindwe na dini yake ilimradi havunji sheria.
Anasema, haya mambo ya udini yapo mjini zaidi, huko vijijini watanzania wanataka mabadiliko tu basi.
Anasema mafunzo aliyopata hayakumfundisha kuchenga chenga. Anasema yeye kihistoria, hajawahi endekeza mambo ya dini. Anasema amefanya kazi na waislam, amefanya kazi chini ya uenyekiti wa Hemed Bin Jumaa,
Anasema udini ni propaganda, na Yeye Hatishwi sana na mambo ya Propaganda.
 
Masuala yatakayo jadiliwa leo ni kama yafuatayo

- Makazi
- rasilimali
- mfumo wa kodi
- maslahi ya wafanyakazi
- suala la uwajibikaji
- jumuiya ya afrika mashariki

Thanks for update.
 
matatizo ya nyumba za wafanyakazi,watanzania hawaijui nchi yao vizuri,umaskini umwigubika tanzania haswahaswa vijijini na wengine wanalala kwenye ngozi ya ng'ombe duh hapa dk slaa amenena kweli

Jamani mimi nimejitahidi kuangalia hiyo TV4africa lakini inatakiwa kulipia lakini hapa napata kupitia bongo Radio. Hapa UK iko poa hata sauti tunapata inatosha. Taarifa!
 
Tanzania tunapitwa kielimu na Somalia, nchi ambayo iko vitani, Kikwete analijua hilo?


nadhani hana takwimu hizo.
Nimevutiwa na slaa alivyochambua shutuma za udini zinazoendelea hapa nchini
 
Anasema watanzania wanataka mabadiliko, hawataki mambo ya udini. Yeye ni mgombea wa urais.
 
anazungumzia green guard,hapo anagusa facts
 
Green guards ni kinyume na katiba ya Jamhuri. Kama ni vurugu zitaletwa na wao.
 
mwee nasikia sasa..duh hizi vitu zinatisha sana
 
Swali, kama watanzania watakupa ridhaa ya kuwa raisi wa nchi atahakikishaje kwamba mapandiliko yatakuja bila kusababisha vurugu.
Anasema, Vurugu haziwezi letwa na wananchi wenyewe, vurugu zinaweza letwa na serikali, vyama n.k
Mfano, serikali ya sasa ya CCM inaleta vurugu, (vijana wao) na Polisi haiwachukulii hatua, anatolea mfano wa Green guard ambao wamepata mafunzo ya kijeshi.
Anasema, Green guard wakiachiwa wakaendelea, watanzania watachoka kuvumilia na hapo ndipo uvunjifu wa aman utatokea, kwa hiyo ni kwa sababu polisi hawafanyi kazi yao. Kama wangefanya kazi yao vizuri, pasingekuwa na vurugu yeyote.
Yeye hataki kwenda Ikuru kwa watanzania kumwaga damu.
 
anazungumzia suala la vurugu baada ya uchaguzi. vurugu hailetwi na chama cha wapinzani kwa maana hawana jeshi wala polisi.vurugu uletwa na serikali na chama tawala.makofi. sitaki kwenda ikulu watu wakiwa vilema.makofi. muda wa maswali umeanza
 
Maswali ya washiriki sasa ya moja kwa moja.
 
khaaa huyu mama anayeongoza mdahalo ni nani?mwe anasema hatapokea ushauri..hahaa maswalai sasa
 
Sasa ni wakati wa maswali ya moja kwa moja, yanatakiwa maswali mafupi
 
dahhh huyu mama ananifurahisha anvomwita Dakta Slaa
 
swali la mikataba ya madini...dahh huyu mzee ana mareference kibao anaongea mambo ya jaji bomani
,,,,haaaaa mkwere anaweza mambo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…