Swali, Tuhuma za kwenye kampeni zimejaa mambo ya Udini na ukabila, je Chama chako au wewe huoni kwamba unahusishwa moja kwa moja?
Dr. anasema Tanzania haina dini, ila watu wake wana dini zao, ni jukumu la Serikali kumlinda kila mtanzania alindwe na dini yake ilimradi havunji sheria.
Anasema, haya mambo ya udini yapo mjini zaidi, huko vijijini watanzania wanataka mabadiliko tu basi.
Anasema mafunzo aliyopata hayakumfundisha kuchenga chenga. Anasema yeye kihistoria, hajawahi endekeza mambo ya dini. Anasema amefanya kazi na waislam, amefanya kazi chini ya uenyekiti wa Hemed Bin Jumaa,
Anasema udini ni propaganda, na Yeye Hatishwi sana na mambo ya Propaganda.