GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu.
Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai mbali nasi sawa?
Saa 10:00 hadi Saa 11:30 za Alfajiri Kesho. Na baada ya huo Mdahalo nitaomba mliouelewa mje sasa hapa Mtudanganye tusiojua Kiingereza kama Mimi na Mtani wangu Arovera
Soma Pia: Marekani: Trump na Kamala watofautiana kuhusu Mdahalo