Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Acha kujifanya hujui kuwa Trump ni Bilionea, Rais Mstaafu wa Marekani, Mzee wa Totozi and what not.She is a lawyer.. who is Trump?!
Mzee wa Casino.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujifanya hujui kuwa Trump ni Bilionea, Rais Mstaafu wa Marekani, Mzee wa Totozi and what not.She is a lawyer.. who is Trump?!
Mzee wa Casino.
Kwakuwa umeshajisemea Mwenyewe kuwa Wewe labda ni Mpumbavu basi tuishie tu hapa sawa?Inawezekana mimi ni mjinga sana!
Nimeangalia hii debate mwanzo mwisho.
Mwanzoni kabisa Kamala aliongelea plans/ policies zake mbili tatu ambazo namna alivokua anazungumza inaonekana alipambana sana kuzikariri.
Baada ya hapo alikua akiulizwa swali hajibu alichoulizwa rather anaishia kuulaumu utawala wa Trump kwa matatizo ambayo yapo directly attributable kwa awamu ya Biden/ Harris.
Na Trump kwa maoni yangu alikua anaelezea hoja vizuri sana na kwa hii debate aliekua anatakiwa aelezee policies zake zieleweke kwa watu ni Kamala ambae kuna wapigakura wengi wamesema kabisa policy-wise hawamfahamu, Trump yeye kila policy yake inafahamika.
Kuanzia ishu ya uchumi/ inflation, abortion/ Roe v Wade, Gaza, weaponization ya justice system ya Marekani, threat to democracy wanayomtuhumu nayo Trump, fracking, kubadilika badilika misimamo/ policies ya Kamala, kubadili race kuendana na mahitaji ya wakati husika, vita ya Ukraine-Urusi, chaotic withdrawal ya Afghanistan, usalama wa mipaka, endorsement ya Cheney na mengine mengi nimeona Trump ameelezea vizuri while Kamala alikua anaruka ruka tu.
Baada ya debate nimeshangaa watangazaji wote wa CNN na comments kibao za youtube wanasema Kamala amemnyoosha Trump kwamba amemshinda mbali sana.
Nimeishia kuwaza maybe mimi ni mpumbavu sana lakini kwa maoni yangu Trump ame perform vizuri sana na huyu maza sikuona substance katika chochote alichoongea.
Hapana, upo sahihi!Inawezekana mimi ni mjinga sana!

Bora apewe mwanamke kuliko kumpa mhuni.
Inawezekana kweli. . . Kamala swali la kwanza tu hakujibu, na hakujibu kwa nini bado waliendelea na Tarriffs za Trump hivyo huwezi sema alianza vizuri. Lakini kuhusu kuchambua sera Kamala alikuwa vizuri zaidi. Trump alipoulizwa plan yake kuhusu afya alisema kuwa anaconcept ya plan. Hakuwa na sera yoyote zaidi ya kupiga kelele kuhusu wahamiaji haramu. Hakujibu kwa nini alipinga muswada wa sheria ya uhamiaji iliyopitishwa na vyama vyote, sababu ungepita angekosa sera. Amezidi kusema Latino na black jobs!!Inawezekana mimi ni mjinga sana!
Nimeangalia hii debate mwanzo mwisho.
Mwanzoni kabisa Kamala aliongelea plans/ policies zake mbili tatu ambazo namna alivokua anazungumza inaonekana alipambana sana kuzikariri.
Baada ya hapo alikua akiulizwa swali hajibu alichoulizwa rather anaishia kuulaumu utawala wa Trump kwa matatizo ambayo yapo directly attributable kwa awamu ya Biden/ Harris.
Na Trump kwa maoni yangu alikua anaelezea hoja vizuri sana na kwa hii debate aliekua anatakiwa aelezee policies zake zieleweke kwa watu ni Kamala ambae kuna wapigakura wengi wamesema kabisa policy-wise hawamfahamu, Trump yeye kila policy yake inafahamika.
Kuanzia ishu ya uchumi/ inflation, abortion/ Roe v Wade, Gaza, weaponization ya justice system ya Marekani, threat to democracy wanayomtuhumu nayo Trump, fracking, kubadilika badilika misimamo/ policies ya Kamala, kubadili race kuendana na mahitaji ya wakati husika, vita ya Ukraine-Urusi, chaotic withdrawal ya Afghanistan, usalama wa mipaka, endorsement ya Cheney na mengine mengi nimeona Trump ameelezea vizuri while Kamala alikua anaruka ruka tu.
Baada ya debate nimeshangaa watangazaji wote wa CNN na comments kibao za youtube wanasema Kamala amemnyoosha Trump kwamba amemshinda mbali sana.
Nimeishia kuwaza maybe mimi ni mpumbavu sana lakini kwa maoni yangu Trump ame perform vizuri sana na huyu maza sikuona substance katika chochote alichoongea.
Nakusalimia mkuu 😂😂😂Kwakuwa umeshajisemea Mwenyewe kuwa Wewe labda ni Mpumbavu basi tuishie tu hapa sawa?
Obama imemlinda rangi tuu, hakuna rais utoporo kama yule…Toka Barack Obama, US haijapata proper Presidential Candidate. Tulizoea kuwasikia US Presidential figures wenye kujua mambo mengi kichwani na uwezo wa kuongea. Huyu mama hamna kitu–content wise –, Trump ni mwehu. Ukitaka unielewe, sikiliza Obama au Putin wakiwa wanahojiwa, tena kwenye zile unstructured interviews.
Acha kulia lia mzee… mamaako kamala sahivi yupo nyumbani anakuna nazi mumewe ale ashibe ili usiku kazi iendeleee 🤣🤣🤣Inawezekana kweli. . . Kamala swali la kwanza tu hakujibu, na hakujibu kwa nini bado waliendelea na Tarriffs za Trump hivyo huwezi sema alianza vizuri. Lakini kuhusu kuchambua sera Kamala alikuwa vizuri zaidi. Trump alipoulizwa plan yake kuhusu afya alisema kuwa anaconcept ya plan. Hakuwa na sera yoyote zaidi ya kupiga kelele kuhusu wahamiaji haramu. Hakujibu kwa nini alipinga muswada wa sheria ya uhamiaji iliyopitishwa na vyama vyote, sababu ungepita angekosa sera. Amezidi kusema Latino na black jobs!!
Kama Trump ni mhalifu na mbaguzi kiasi cha kununua tangazo redioni ili vijana weusi watano wasio na hatia wanyongwe kwa nini asishambuliwe. Kama kuna mtu anataka kuweaponize justice system ni Trump anayetaka mahakama impe kinga ya kutoshtakiwa.
Au sioAcha kulia lia mzee… mamaako kamala sahivi yupo nyumbani anakuna nazi mumewe ale ashibe ili usiku kazi iendeleee 🤣🤣🤣
Panapo mfaa mwanamke n jikoni na kitandani tuu, kila mmarekani analifahamu hilo