Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

Ukifahamu akili na tamaduni za wamerekani wengi wala hutaweza kuumiza kichwa kuuliza hilo swali. Kwa kukusaidia, mbali na sera (ambazo hubebwa na vyama vyao) wamerekani wanapenda kuongezwa na mtu hizi haiba.
1. Muonekano wake mbele za watu
2. Uwezo wa kujieleza mbele ya watu
3. Uwezo wa kujenga hoja
4. Uwezo wa kujitetea akishambuliwa
5. Uelewa mpana wa mambo mbalimbali.

Kama unakumbuka tu, Biden alianguka kwenye mdahalo uliopita kwa makosa mawili tu, Sauti (alishindwa kusikika baada ya kutafuna maneno) na Kuchanganya majina ya watu wachache (na akaonekana ana usahaulifu) na wala sio sera zake. Na makosa hayo tu yakamshinikiza mpaka kuja kujiondoa.
Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
 
Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu.

Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai mbali nasi sawa?

Saa 10:00 hadi Saa 11:30 za Alfajiri Kesho. Na baada ya huo Mdahalo nitaomba mliouelewa mje sasa hapa Mtudanganye tusiojua Kiingereza kama Mimi na Mtani wangu Arovera

Soma Pia: Marekani: Trump na Kamala watofautiana kuhusu Mdahalo

Ila Harris Kamala si mzuri katika Public Speaking kama alivyo Trump na ndiyo maana kamteua Tim Walz ambaye ni Communicator mzuri kutokana pia na Historia yake ya Ualimu huko nyuma..

Harris Kamala ana Akili sana
,ila hajui Kuzungumza na Trump hana Akili ila ni Mzungumzaji mahiri.
Trump ni mzungumzaji mahiri? Nipe quote yake hata ya maneno matatu kuthibitisha hilo.
 
Raisi wa marekani ajae ni trump,kwa minajili ya historia,Kamara angojee nafasi yake kipindi kijacho
 
S

ema Kamala hajakutana na tough questions kama alizokutana nazo Biden,,, moderators wamembeba sana,kama anajiamini a debate Fox news
Hapa tunajadili mdahalo huu na sio mdahalo mwingine wowote.
Sijui umetumia kigezo gani kusema Harris amebebwa na maswali rahisi. Kwa kuwa ameyamudu vizuri maswali yake labda ndio maana umeamini ni maswali rahisi.

Na ukweli unabakia hivi, maswali rahisi hayawezi kukupa big credit kwa watazamaji kwenye mdahalo, mgombea yoyote hujiandaa zaidi kwa maswali magumu na hupenda kuulizwa maswali magumu ili kupata more credit. Hivyo kama Trump aliulizwa maswali magumu hilo ungepaswa kushukuru kuliko kulaumu moderators, na kama maswali hayo yalimshinda Trump basi Trump anapaswa kujilaumu yeye zaidi.
 
Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
Mkuu hapa tunajadili mdahalo wa leo, na sio nani atashinda huu uchaguzi, maana kushinda uchaguzi unahitaji vitu vingi zaidi ya kushinda mdahalo.

Kwa mdahalo huu, kwa maoni yangu Kamala Harris amefanya vizuri zaidi, ameonyesha ubora mbele ya mamilioni ya wamerekani wanaotegemea kupiga kura zao November.
 
Miongoni mwa mambo ya ovyo na uongo mkubwa kabisa Trump ameyasema leo kwenye mdahalo ni haya.
1. Akiingia madarakani vita ya Ukraine itaimaliza mara moja!
2. Akiingia madarakani vita ya gaza itaimaliza mara moja!
3. Wahamiaji huko marekani wanatafuna mbwa na paka wa wamerekani kwa kasi ya ajabu mnoo!
4. Democrat wameruhusu utoaji mimba hata baada ya mtoto kuzaliwa!
 
Utashangaa mazuzu ya humu yanasema Haris anaweza kuongea kuliko Trump, Trump umshinde kwa kuongea?

Toka Haris ateuliwe kua mbadala wa Biden amefanya interview 2 tu, zote ziko highly scripted, ya CNN ambayo alikua peke yake na bado akaboronga na hii ambayo amekuja kutetewa na moderators wamsaidie wakati huo Trump amefanya interview 35 kwa kipind hicho.

Nadhani baada ya hapa Kamala hatafanya interview tena.
Kwanza alikuwa anakimbia mdahalo na Trump.
 
Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
Haris ni mweupe sana! Ila wengi wao wanaongopewa na MSM kwa sababu zinambeba sana.
 
Marekani hawawezi kumuweka kiumbe anayeenda mwezini kila mwezi awaongoze dhidi ya tishio la China,Russia,N.Korea,Iran and M.East in general
Hata Mimi pamoja na kwamba namkubali Harris Kamala ila huku kuwa Mwanamke na kila Mwezi Bwawa la Mindu linachafuka (Anablidi) halafu apewe Urais wa Taifa Kubwa kama la Marekani naona hapa Wazee wa Kuamua nani awe Rais Marekani hawatakuwa tayari kufanya hili Kosa ambalo huenda baadae wakaja Kujutia.
 
Hata Mimi pamoja na kwamba namkubali Harris Kamala ila huku kuwa Mwanamke na kila Mwezi Bwawa la Mindu linachafuka (Anablidi) halafu apewe Urais wa Taifa Kubwa kama la Marekani naona hapa Wazee wa Kuamua nani awe Rais Marekani hawatakuwa tayari kufanya hili Kosa ambalo huenda baadae wakaja Kujutia.
Mwanamke miaka 60 aliacha kubleed zamani.
 
Uchawa tuuu
Marekani ndio dunia yeyewe, kila binadamu ndoto yake kubwa ni kufika marekani, marekani ndio alikomesha vita ya pili ya dunia na kuanzia pale kaitawala dunia hadi leo Kwa kila kitu, pesa inayotumika dunia nzima ni dollar ya mmarekani au hata haya madogo hauyajui
 
Niliwaambia mapema wakajidai wajanja, Trump hawezi chomoka kwa Kamalla ilikuwa lazima akalishwe.

Kamalla ni Rais ajae wa USA, wasijidanganye na wazee wa Congress wala nini... mhuni ni mhuni tu.
Hata hirrary ulisema hivyo hivyo, akala za uso..

Sometimes jifunze kubalance mihemko km mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom