Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

Kamala is winning the debate.

But not on points. Just by demeanor.

She hasn’t said anything meaningful 🤣.

Trump is dumb [so is Kamala]. He is taking all the baits.

He has no impulse control, whatsoever.
 
Kamala is winning the debate.

But not on points. Just by demeanor.

She hasn’t said anything meaningful 🤣.

Trump is dumb [so is Kamala]. He is taking all the baits.

He has no impulse control, whatsoever.
Sema Hawa moderators walikuwa wanampendelea sana Harris,Wale wa CNN walikuwa moto sana hawakumpendelea Mtu
 
Wafuasi wa mwakTrump hawaishi visingizio, sasa hivi watangazaji ni timu Harris

Trump hana hoja zaidi ya kusema MAGA, hana hoja, Kamala kampiga pakubwa, huwezi kushindana na lawyer kuongea, HUWEZI
 
Bi mkubwa mpaka kashika tama!
Ila yupo vizuri kusema ukweli , lakini Trump ni level nyingine aisee!
Screenshot_20240911-061524_YouTube.jpg
 
Wafuasi wa mwakTrump hawaishi visingizio, sasa hivi watangazaji ni timu Harris

Trump hana hoja zaidi ya kusema MAGA, hana hoja, Kamala kampiga pakubwa, huwezi kushindana na lawyer kuongea, HUWEZI
Niliwaambia mapema wakajidai wajanja, Trump hawezi chomoka kwa Kamalla ilikuwa lazima akalishwe.

Kamalla ni Rais ajae wa USA, wasijidanganye na wazee wa Congress wala nini... mhuni ni mhuni tu.
 
Ila Harris Kamala si mzuri katika Public Speaking kama alivyo Trump na ndiyo maana kamteua Tim Walz ambaye ni Communicator mzuri kutokana pia na Historia yake ya Ualimu huko nyuma..

Harris Kamala ana Akili sana
,ila hajui Kuzungumza na Trump hana Akili ila ni Mzungumzaji mahiri.
Hiyo akili Haris kaitoa wapi? Unaweza kusema kitu kimoja ambacho kinamuonyesha Haris ana akili sana?
 
Kwangu mimi naona Harris katika debate hii kashinda zaidi kwa sababu hizi.
1. Shake hand approach
2. Body language (Proper)
3. Smile (Expression)
4. Gestures (Proper)
5. Facts and figures(Bombing)
6. Mediation policy in Gaza
7. Attack&defence answers
8. Calmness when she was attacked
9. Taliban and Putin issues (addressing against Trump)
10. Voice&words (Polite language).
 
Back
Top Bottom