GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Marekani ikipiga Chafya wengine duniani tunakohoa. Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo hajui kuwa Marekani ndiyo Kiranja Mkuu wa dunia na ndiyo Mbabe wa Uchumi.itakuwaje mdahalo wa dunia wakati ni kuhusu marekani ???
kwani marekani ndiko dunia ???
Al Jazeera, BBC na CNN ila zote wanachukua kutoka kwa wenye Marekani yao Fox News.Channel gani itaonyesha huo Mahalo??
Marekani ndio dunia yeyewe, kila binadamu ndoto yake kubwa ni kufika marekani, marekani ndio alikomesha vita ya pili ya dunia na kuanzia pale kaitawala dunia hadi leo Kwa kila kitu, pesa inayotumika dunia nzima ni dollar ya mmarekani au hata haya madogo hauyajuiitakuwaje mdahalo wa dunia wakati ni kuhusu marekani ???
kwani marekani ndiko dunia ???
Ila Harris Kamala si mzuri katika Public Speaking kama alivyo Trump na ndiyo maana kamteua Tim Walz ambaye ni Communicator mzuri kutokana pia na Historia yake ya Ualimu huko nyuma..Trump anaenda kukutana na prosecutor kazi anayo.
Kwanza sijawahi kuona mwanaume aliyewahi kumshinda mwanamke kuongea, hii ni biological issue.
Narudia tena, Trump leo kazi anayo.
Asante kwa kuzidi Kunielimishia hilo Juha.Marekani ndio dunia yeyewe, kila binadamu ndoto yake kubwa ni kufika marekani, marekani ndio alikomesha vita ya pili ya dunia na kuanzia pale kaitawala dunia hadi leo Kwa kila kitu, pesa inayotumika dunia nzima ni dollar ya mmarekani au hata haya madogo hauyajui
Kuna kuongea vitu vya msingi na kuna kuongea upumbavu.Trump anaenda kukutana na prosecutor kazi anayo.
Kwanza sijawahi kuona mwanaume aliyewahi kumshinda mwanamke kuongea, hii ni biological issue.
Narudia tena, Trump leo kazi anayo.
Sio kwa Trump na historia yake. Ana bahati mbaya sana kukutana na prosecutor kwenye huo mdahalo, afadhali angekutana na mhasibu!.Kuna kuongea vitu vya msingi na kuna kuongea upumbavu.
Mwanaume nguvu inapaswa kuwa kuongea vitu vya msingi( ushindi wake Trump utakuwa hapa katika huu mdahalo kama akitumia kinywa chake kwa usahihi)
Mwanaume haitaji maneno mia kushindana na takataka elfu moja za mwanamke neno moja tu linatosha kufukia takataka zote.
Trump kama hana akili basi lazima aongee pumba.Ila Harris Kamala si mzuri katika Public Speaking kama alivyo Trump na ndiyo maana kamteua Tim Walz ambaye ni Communicator mzuri kutokana pia na Historia yake ya Ualimu huko nyuma..
Harris Kamala ana Akili sana
,ila hajui Kuzungumza na Trump hana Akili ila ni Mzungumzaji mahiri.
Huwa unafuatilia mikutano ya Kamala ?Sio kwa Trump na historia yake. Ana bahati mbaya sana kukutana na prosecutor kwenye huo mdahalo, afadhali angekutana na mhasibu!.
Hili swali halina maana, Kamala namfahamu chaguo la wamarekani.Huwa unafuatilia mikutano ya Kamala ?
Marekani ikipiga Chafya wengine duniani tunakohoa. Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo hajui kuwa Marekani ndiyo Kiranja Mkuu wa dunia na ndiyo Mbabe wa Uchumi.
Niaminivyo mimi rais wa Marekani haamuliwi na kura za raia.Hili swali halina maana, Kamala namfahamu chaguo la wamarekani.