Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
 

Trump ni mzungumzaji mahiri? Nipe quote yake hata ya maneno matatu kuthibitisha hilo.
 
Raisi wa marekani ajae ni trump,kwa minajili ya historia,Kamara angojee nafasi yake kipindi kijacho
 
S

ema Kamala hajakutana na tough questions kama alizokutana nazo Biden,,, moderators wamembeba sana,kama anajiamini a debate Fox news
Hapa tunajadili mdahalo huu na sio mdahalo mwingine wowote.
Sijui umetumia kigezo gani kusema Harris amebebwa na maswali rahisi. Kwa kuwa ameyamudu vizuri maswali yake labda ndio maana umeamini ni maswali rahisi.

Na ukweli unabakia hivi, maswali rahisi hayawezi kukupa big credit kwa watazamaji kwenye mdahalo, mgombea yoyote hujiandaa zaidi kwa maswali magumu na hupenda kuulizwa maswali magumu ili kupata more credit. Hivyo kama Trump aliulizwa maswali magumu hilo ungepaswa kushukuru kuliko kulaumu moderators, na kama maswali hayo yalimshinda Trump basi Trump anapaswa kujilaumu yeye zaidi.
 
Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
Mkuu hapa tunajadili mdahalo wa leo, na sio nani atashinda huu uchaguzi, maana kushinda uchaguzi unahitaji vitu vingi zaidi ya kushinda mdahalo.

Kwa mdahalo huu, kwa maoni yangu Kamala Harris amefanya vizuri zaidi, ameonyesha ubora mbele ya mamilioni ya wamerekani wanaotegemea kupiga kura zao November.
 
Miongoni mwa mambo ya ovyo na uongo mkubwa kabisa Trump ameyasema leo kwenye mdahalo ni haya.
1. Akiingia madarakani vita ya Ukraine itaimaliza mara moja!
2. Akiingia madarakani vita ya gaza itaimaliza mara moja!
3. Wahamiaji huko marekani wanatafuna mbwa na paka wa wamerekani kwa kasi ya ajabu mnoo!
4. Democrat wameruhusu utoaji mimba hata baada ya mtoto kuzaliwa!
 
Kwanza alikuwa anakimbia mdahalo na Trump.
 
Harris ni mweupe,hivyo vitu ulivyo vitaja Clinton alikuwa navyo VYOTE,,,ila alikula za uso mbele ya Trump
Haris ni mweupe sana! Ila wengi wao wanaongopewa na MSM kwa sababu zinambeba sana.
 
Marekani hawawezi kumuweka kiumbe anayeenda mwezini kila mwezi awaongoze dhidi ya tishio la China,Russia,N.Korea,Iran and M.East in general
Hata Mimi pamoja na kwamba namkubali Harris Kamala ila huku kuwa Mwanamke na kila Mwezi Bwawa la Mindu linachafuka (Anablidi) halafu apewe Urais wa Taifa Kubwa kama la Marekani naona hapa Wazee wa Kuamua nani awe Rais Marekani hawatakuwa tayari kufanya hili Kosa ambalo huenda baadae wakaja Kujutia.
 
Mwanamke miaka 60 aliacha kubleed zamani.
 
Uchawa tuuu
 
Niliwaambia mapema wakajidai wajanja, Trump hawezi chomoka kwa Kamalla ilikuwa lazima akalishwe.

Kamalla ni Rais ajae wa USA, wasijidanganye na wazee wa Congress wala nini... mhuni ni mhuni tu.
Hata hirrary ulisema hivyo hivyo, akala za uso..

Sometimes jifunze kubalance mihemko km mtoto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…