Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .

Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .

Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko

Muwe na siku njema
 
Uthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni kati ya wasemaji wakuu wa chadema
 
Embu fikiria hawa ni wasemaji wa hiki chama
 
Mfalme Suleimani aliulizwa na Mungu. Omba unataka nikufanyie nini, mfalme akajibu, naomba unipe HEKIMA nijue jinsi ya kutoka na kuingia. Kwanini hakuomba ELIMU. Wenzio wa taifa hili na wahujumu uchumi wa taifa hili ni hao unaowaita wasomi hasa wanasiasa, Wanaotuaminisha nyeusi kuwa ni nyeupe. Yawezekana hata wewe uko miongoni mwao maana unageuza nyeupe kuwa Nyeusi. Mungu na akukemee
 
Umemsahau DAB
 
Mangi tuletee wasifu wa hawa viongozi wa chadema ,Lema,Mbowe,Sugu,Mdude na Wenje acha kupiga mayowe aisee.
 
Uthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni kati ya wasemaji wakuu wa chadema
Duuuh! Hii ni hatari sasa.
 
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .

Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .

Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko

Muwe na siku njema
Bilionea Sugu vs Bilionea Boni Yai 😄
Muwe mnaheshimu hustle za watu. Hao wamejipigania kupata walivyo navyo tena katika mazingira magumu ukichukulia ni wapinzani.
Kama mnawaona kuwa wana hela halafu ni eapinzani basi hao ni somo la mfani kwa jamii.
matumizi sahihi ya akili yanawapatia elimu ya namna ya kuweza kufanikiwa bila visomo vya madarasani

CCM wamehudhuria madarasani kutafuta visomo kama fursa, matokeo yake sababu ya vyeti vyao watu wakadhani wana elimu na wakiingia kwenye mfumo ndipo unagundua kuwa walipata vyeti pasipo kuelimika, wakishaingia kwenye mfumo huishi maisha ya Rushwa huku wakiongeza masifuri kwenye vipato vyao, wengine wakigawa rasilimali za nchi na nyingine wakizigawa bure tu huku wananchi wakizidi kujikuta katika mkwamo na maisha magumu.
 
Boni Yai ni graduate wa pale The Hill 😄
 
Nikiwa shule niliamini sana hii kauli "elimu ni bora kuliko pesa " sasa nimegeuza kibao, "kumbe ni uwongo. Tumuuluze mbunge Msukuma kuhusu hiyo kauli.
 
Back
Top Bottom