Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Uthibitisho ni huu hapa:CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .
Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko
Muwe na siku njema

Uthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni kati ya wasemaji wakuu wa chadema
Mfalme Suleimani aliulizwa na Mungu. Omba unataka nikufanyie nini, mfalme akajibu, naomba unipe HEKIMA nijue jinsi ya kutoka na kuingia. Kwanini hakuomba ELIMU. Wenzio wa taifa hili na wahujumu uchumi wa taifa hili ni hao unaowaita wasomi hasa wanasiasa, Wanaotuaminisha nyeusi kuwa ni nyeupe. Yawezekana hata wewe uko miongoni mwao maana unageuza nyeupe kuwa Nyeusi. Mungu na akukemeeUthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni wasemaji wa hiki chama
Umemsahau DABUthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni kati ya wasemaji wakuu wa chadema
Mangi tuletee wasifu wa hawa viongozi wa chadema ,Lema,Mbowe,Sugu,Mdude na Wenje acha kupiga mayowe aisee.Mfalme Suleimani aliulizwa na Mungu. Omba unataka nikufanyie nini, mfalme akajibu, naomba unipe HEKIMA nijue jinsi ya kutoka na kuingia. Kwanini hakuomba ELIMU. Wenzio wa taifa hili na wahujumu uchumi wa taifa hili ni hao unaowaita wasomi hasa wanasiasa, Wanaotuaminisha nyeusi kuwa ni nyeupe. Yawezekana hata wewe uko miongoni mwao maana unageuza nyeupe kuwa Nyeusi. Mungu na akukemee
Alijiendelea na kufanikiwa hawa walikendeleza wapi na lini?Umemsahau DAB
Duuuh! Hii ni hatari sasa.Uthibitisho ni huu hapa:
1: Mzee Mbowe elimu ya sekondari hakufanya vizuri
2: Lema ndio kabisa hata kidato cha nne kilimshinda
3: Sugu nae kidato cha nne kilimshinda
4: Wenje nae kidato cha nne kilimshinda
5:Mdude nyangali nae ndio hivyo
Embu fikiria hawa ni kati ya wasemaji wakuu wa chadema
Ndio maana chama kinaisha kwa matukio hakina watu wa kuweza kuandaa mikakatiDuuuh! Hii ni hatari sasa.
CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake .
Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo .
Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko
Muwe na siku njema
Muwe mnaheshimu hustle za watu. Hao wamejipigania kupata walivyo navyo tena katika mazingira magumu ukichukulia ni wapinzani.Bilionea Sugu vs Bilionea Boni Yai ๐
Kwa hizo data binafsi zimenitisha sana.Ndio maana chama kinaisha kwa matukio hakina watu wa kuweza kuandaa mikakati
Boni Yai ni graduate wa pale The Hill ๐Muwe mnaheshimu hustle za watu. Hao wamejipigania kupata walivyo navyo tena katika mazingira magumu ukichukulia ni wapinzani.
Kama mnawaona kuwa wana hela halafu ni eapinzani basi hao ni somo la mfani kwa jamii.
matumizi sahihi ya akili yanawapatia elimu ya namna ya kuweza kufanikiwa bila visomo vya madarasani
CCM wamehudhuria madarasani kutafuta visomo kama fursa, matokeo yake sababu ya vyeti vyao watu wakadhani wana elimu na wakiingia kwenye mfumo ndipo unagundua kuwa walipata vyeti pasipo kuelimika, wakishaingia kwenye mfumo huishi maisha ya Rushwa huku wakiongeza masifuri kwenye vipato vyao, wengine wakigawa rasilimali za nchi na nyingine wakizigawa bure tu huku wananchi wakizidi kujikuta katika mkwamo na maisha magumu.
Alifanikiwa kuelimika, ila mleta mada kwa kuwa amesikia anauza mayai kamuweka kwenye kundi la ambao hawana elimu๐ , keake wenye elimu ni wakuu wa wilsya, mikoa na mawaziriBoni Yai ni graduate wa pale The Hill ๐