Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

vijana wa UDA wako full kule wanazomea tu na kushangilia ujinga
 
Nilijua tu huyu Omary kaandaliwa

Na yule wa pili toka ZAnzibar atasema hivyo hivyo
 
Labda niulize maswali kidogo tu, hizo uda zilikua ngapi? Je uda iliwatoa wapi kwenda UDSM? Je imekodishwa gharama za nani au kila mmoja alikua anajilipa? Nauliza hivyo ili kupata uhalisia wa mleta mada isije ikawa ameona uda moja imepeleka watu pale kutoa kikundi fulani akasema uda inasomba watu kwenda kwenye kongamano.

Mwisho sidhani kama kusomba watu ni issue ya kuzungumza humu cha kujadili ni kinatafutwa UDSM ni nini? Imefika mahali tunajadili nani kafanya nini badala na nini kimefanywa. Tubadilike
 

mi nlijua unataja waliokuja na uda wameji organize vp kukodisha gari kwa shughuli hii
 
Katumwa huyu Omary Zuberi na waliomtuma wanashangilia.inasikisha sana,Mnyaa anasikitika pia
 
kuna mjinga aliyeandaliwa anaitwa mohameď zuberi ni ovyo
 
Huyu Omary kaongea yake, tusimpinge, sisi nao tuweke maoni yetu
 
CCM wamekabwa koon Dr kitila mkumbo ameongea ukweli kwamba bunge la katiba livunjwe!kabisa tusubiri uchaguzi upite ndipo tuanze mchakato wa katiba mpya!
Amewafurahisha UKAWA leo!
 
CCM ndio wanaoharibu nchi hii kwa kurubuni watu wenye ufahamu mdogo
 

UDA imesomba kikundi cha wa watu walioandaliwa na INTARAHAMWEA hakuna kikundi cha watu kutoka buguruni na kuna ushahidi mwigulu anajua hata malipo yapo ya tsh 5000
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…