kuna viongozi / binadamu wachache ambao kwa maslahi yao au ya wachache hawataki Katiba ya wananchi au kwa nje wanajifanya sio ukawa ila deep down ni UKAWAHaaa haaa
Hata Wasira ni UKAWA....
Tibaijuka anaongea utoko kabisa,ovyo kabisa
Ivi nikweli ukiwa ccm nauelewa unapungua?
TLP.mamaa ngoja tumsikilizeee nae anaongeaaa nini sijui
prof wa ccmuyu mama niprof.. (Tibaijuka)