Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Haaa haaa
Hata Wasira ni UKAWA....
kuna viongozi / binadamu wachache ambao kwa maslahi yao au ya wachache hawataki Katiba ya wananchi au kwa nje wanajifanya sio ukawa ila deep down ni UKAWA
 
Huyu Tibaijuka vipi yaani anasubiri ashawishiwe? Loh! Ni aibu.
 
"...hata kama katiba mpya haita patikana bado itakuwa ushindi mkubwa kwa ccm na raisi jk...." Prof Tibaijuka.

Anasema hayo huku BM likiwa limetumia zaidi ya Bili 27 za kodi za watanzania
 
TLP.mamaa ngoja tumsikilizeee nae anaongeaaa nini sijui
 
Huu ni ukweli, ccm wametembeza bahasha za kaki! Wao wanashangilia kila kitu hata pumba.
 
Udasa inatumiwa na maccm hawa akina mama ni maalum kuitetea magamba
 
Back
Top Bottom