Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"...hata kama katiba mpya haita patikana bado itakuwa ushindi mkubwa kwa ccm na raisi jk...." Prof Tibaijuka.
Anasema hayo huku BM likiwa limetumia zaidi ya Bili 27 za kodi za watanzania
umeionaje presentation yake?
heee kumbe TLP ina mwenezi?
Nasikitika sana kwa msomi kukwepa ueledi wake...na kung'ang'ana na itikadi
heee kumbe TLP ina mwenezi?
So hao waliokwenda ni kwamba wamekubali kwenda kuzomewaKama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
Mama Rwechungura anampa shule Lissu!
Hii nchi ya ajabu kweli basi waje na treni pengine mtafurahi na kuona wako sahihi.