Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Hawa vijana wa chadema ni njaa tupu wametumwa Kutoka mtaa wa ufipa, Wassira amewafanya kitu mbaya mpaka wamechanganyikiwa.
 
"...hata kama katiba mpya haita patikana bado itakuwa ushindi mkubwa kwa ccm na raisi jk...." Prof Tibaijuka.

Anasema hayo huku BM likiwa limetumia zaidi ya Bili 27 za kodi za watanzania

mchakato mbona unaendelea vizuri tu,
 
Nasikitika sana kwa msomi kukwepa ueledi wake...na kung'ang'ana na itikadi
 
Mama Rwechungura anampa shule Lissu!
 
Ccm ni ukweli ulio wazi wamesomba watu, lakini haitawasaidia kamwe!
 
Mamaa anaongeaaaa Facts.....Sio lile.boyaaa linasema katibaa Haina Umuhimu.....kwa tanzaniaaaa
 
So hao waliokwenda ni kwamba wamekubali kwenda kuzomewa
 
Vyama vya siasa vya uchocholoni vina watu wa ajabu kama huyu mama mwenezi wa chama cha uchocholoni TLP
 
Hii nchi ya ajabu kweli basi waje na treni pengine mtafurahi na kuona wako sahihi.

Mkuu kwa nini wamesubiri wanafunzi waende likizo ndo wajae nkrumah aibu kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…