Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Kitila yuko njema sana.

Chadema uroho wa madaraka inasababisha wanafukuza vichwa...
 
Dr Kitila Mkumbo ameamua kuwatukana wajumbe wa BK, wanauwezo mdogo wa kukabiliana na hoja kinzani
 
Hivi Wassira anajiskiaje anapoona mzee mwenzie Prof Mpangala anavyoshusha nondo za ukweli na uhakika.

Serikali 3 nikuboresha demokrasia.
Kwani wasira kavurugwa kama mpangala? Kama kuongeza serikali ni kuboresha demokrasia tufanye ziwe serikali tano au kanda zote ziwe na rais wake na mawaziri wakuu pamoja na makamu wa rais wake kama hiyo ndiyo hoja.
 
Kwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
hivi kuna mwananchi ambaye sio UKAWA "Umoja wa Katiba ya Wananchi" hapo logic inasema kila mwananchi ni UKAWA
 
Hii inasaidia nini kwa mtu alie mbali na TV anaetegemea taarifa ya JF kujua kinachoendelea huko Nkuruma,,,

Kwakweli jf members walio hudhuria na wanao tazama kwenye tivii wameliangusha jukwaa
 
CHADEMA warudisheni hawa watu aisee, ikaribisheni ATC ndani ya UKAWA na mzike tofauti zenu...safi sana Dr. Kitila Mkumbo, Serikali tatu ndo habari ya mjini.
 
Kitila kuhusu wajumbe wote kusimamia vyama vyao hawaendi extra mile hapo ni ukweli kabisa.
 
Sasa hawa wanaccm watapingana na wataaluma hawa walio waalika?!
 
Mkuu, na mkumbo naye mjumbe wa ukawa?

Wasomi leo wameamua kusimamia ukweli na elimu zao.

Leo wasomi wameweka inje ubinafsi na wameamua kuusema ukweli.
Kwani kitila ametoka lini ukawa kama zitto ni ukawa kwa nini kitila asiwe ukawa anashiriki vikao vya ukawa kila siku.
 
wajumbe wa ccm hawana uwezo wa kutengeneza katiba mpya ushauri wa kikwete avunje bunge la katiba wakaanze upya
 
Back
Top Bottom