mtasema mengi sana ukweli umeshajulikana ccm wanabaka maoni ya wanachiKwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtasema mengi sana ukweli umeshajulikana ccm wanabaka maoni ya wanachiKwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
Confirmed:::Mangula ndani ya nyumba.
Kwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
Kwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
Kwani wasira kavurugwa kama mpangala? Kama kuongeza serikali ni kuboresha demokrasia tufanye ziwe serikali tano au kanda zote ziwe na rais wake na mawaziri wakuu pamoja na makamu wa rais wake kama hiyo ndiyo hoja.Hivi Wassira anajiskiaje anapoona mzee mwenzie Prof Mpangala anavyoshusha nondo za ukweli na uhakika.
Serikali 3 nikuboresha demokrasia.
hivi kuna mwananchi ambaye sio UKAWA "Umoja wa Katiba ya Wananchi" hapo logic inasema kila mwananchi ni UKAWAKwani umesahu kuwa huyo prof ni mjumbe wa ukawa?
ukiona kimya ujue kinaongelewa pointless.
Hii inasaidia nini kwa mtu alie mbali na TV anaetegemea taarifa ya JF kujua kinachoendelea huko Nkuruma,,,
Kwani kitila ametoka lini ukawa kama zitto ni ukawa kwa nini kitila asiwe ukawa anashiriki vikao vya ukawa kila siku.Mkuu, na mkumbo naye mjumbe wa ukawa?
Wasomi leo wameamua kusimamia ukweli na elimu zao.
Leo wasomi wameweka inje ubinafsi na wameamua kuusema ukweli.
Yepi yale ya kuvunja muungano?Maoni ya Mpangala yafanyiwe kazi