Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Wapinzani simamie kwamba mnataka okoa lasilimali za nchi na kuutupilia mbali umasikini imefika wakati unaishi dar hakuna hata maji,afya hospitali zote za umma wagonjwa wanakufa hata kwa mafua.kweli Nyerere kufariki ndio mwisho wa CCm.
 
CCM wamekabwa koon Dr kitila mkumbo ameongea ukweli kwamba bunge la katiba livunjwe!kabisa tusubiri uchaguzi upite ndipo tuanze mchakato wa katiba mpya!
 
Aisee kitila ana akili kuzidi viongozi wa UKAWA.
 
yaani CCM bwana

Eti wanakuja na mtu toka Zanzibar

Huyu kaandaliwa na CCM kuja kusema Muungano
 
Mchakato wa katiba ya wananchi ukishindwa kufanikiwa ni sawa nakufupisha maisha ya ccm madarakani (Kitila Mkumbo)
 
Mh!! Kitila kawapa CCM ukweli mchungu.

Ukweli mchungu sanaaa tena sana

Namuona mzee wa watu Wassira kachoka kabisa, nikimwangalia Lukuvi na Mwigulu nichoka mbaya?

Wanachokisikia sicho kabisa walichokitarajia.
 
Kuna mazingira yanawekwa ili mh. Raisi aahirishe/avunje BMK SOFTLY bila kuathiri chama tawala.
 
Kitila na Mpangala wameongea mambo ya msingi saana na ni dhahiri kuwa wamedhihirisha kuwa kweli wao ni wanataaluma.
 
Aisee,mie naomba uzima 2015 ifike...lazima nishushe Chopa kama ya Gwajima kwa pesa ya CCM na ACT naendelea kuandaa fursa
 
Mbona Kakobe alishawaambia kwamba Mungu amesema ataharibu umoja wao? Nyie subirini mtaona. Mungu na waungwana, shetani na wahuni!.

MABASI UDA YALITUMIKA KUWABEBA WADAU WAO KUTOKA VIUNGA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Hiyo ndiyo CCM walivyojifikisha ktk mjadala huu kuuteka. MAGAMBA HAO KWELI WAHUNI.
 
Omary toka Zenji ni mchangiaji wa kwanza.anasema kabla ya mapinduzi zbar ilikuwa na katiba.wao wamekombolewa na mapinduzi na yamelindwa na muungano
 
Hadhi Ya Nkurumah inashushwa na UDASA..... Hao akina mama wanaosinzia pale nani kawaita?
 
Huyu mshiriki anataka kupotosha kwahyo Warioba hakuzunguka kapika data atoe point nyingine muhimu ana danganya wazi
 
Back
Top Bottom