Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Kuonyesha kuwa huu mdahalo umeandaliwa na ccm,
Utaonda wazanzibar walivyoandaliwa na CCM
Utaonda wazanzibar walivyoandaliwa na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuna mwananchi ambaye sio UKAWA "Umoja wa Katiba ya Wananchi" hapo logic inasema kila mwananchi ni UKAWA
Mh!! Kitila kawapa CCM ukweli mchungu.
Aisee kitila ana akili kuzidi viongozi wa UKAWA.
msaliti na mhaini mkumbo anaongea sasa.
Nikweli mkuu!!! Hivi mama yako kaacha kugonga viroba?mjadala una wahudhuriaji wengi lakini uko undercontrol.ule wa wanywa viroba unakuwaga na fujo sana.
MABASI UDA YALITUMIKA KUWABEBA WADAU WAO KUTOKA VIUNGA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Hiyo ndiyo CCM walivyojifikisha ktk mjadala huu kuuteka. MAGAMBA HAO KWELI WAHUNI.