Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mnyaa anampongeza Mpangala ila anampa changamoto ktk mapendekezo yao waongeze upatikanaji wa hati ya muungano
 
Hata wakifanya, sidhani kama itawashangaza watanzania. Kwa sababu haitakuwa mara ya kwanza
 
waganga wa njaaa wako CCM na wewe pia ni miongoni mwao shukuru ukawa ndio inakusababisha unalipwa
 
mjadala una wahudhuriaji wengi lakini uko undercontrol.ule wa wanywa viroba unakuwaga na fujo sana.

Kiongozi kwanini uctuletee hoja zinazojadiliwa hapo ukumbini badala ya hicho ulichoandika hapo juu
 
Mnyaa anampongeza Mpangala ila anampa changamoto ktk mapendekezo yao waongeze upatikanaji wa hati ya muungano
 
kuna retired DC toka Zenji,huyu point zime-evaporate,anasema alikuwa na mengi ila amepata temperature
 
Tatizo sio matumizi za uda za kukodi. Tatizo ni kitendo cha CCM kukodi uda kusomba watu wa kushangilia na mbaya zaidi badala ya wapandaji kulipa nauli, kuna mijamaa ya ccm inawalipa wapandaji nauli ya sh. 20000 kwa kichwa. Kwi kwi kwi
 
Hiyo ni mdahalo wa Magamba, hakuna jipya hapo. Mamluki wa magamba yamejaa ukumbini hapo, hawajui hata wanalolipigia makofi....

.
Ujinga na upumbavu wa watanzania ni mtaji na engine ya chama cha mapindizi.
 
Back
Top Bottom