OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #401
Mnyaa anampongeza Mpangala ila anampa changamoto ktk mapendekezo yao waongeze upatikanaji wa hati ya muungano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjadala una wahudhuriaji wengi lakini uko undercontrol.ule wa wanywa viroba unakuwaga na fujo sana.
mjadala una wahudhuriaji wengi lakini uko undercontrol.ule wa wanywa viroba unakuwaga na fujo sana.
Kashaanza eti kushukuru kikwete
Huyu kaandaliwa na CCM
Mkuu ukawa ni aibu tupu hakuna mwenye hoja hata mmoja,picha za hayo magari nenda ubungo yapo utayapiga hadi uchoke.
kashalambishwa bahasha ya kaki tayar, chezea ccm wewe!Katumwa huyu Omary Zuberi na waliomtuma wanashangilia.inasikisha sana,Mnyaa anasikitika pia
Hiyo ni mdahalo wa Magamba, hakuna jipya hapo. Mamluki wa magamba yamejaa ukumbini hapo, hawajui hata wanalolipigia makofi....