Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo huu inavyooneka ulikotoka ulikuwa wa maccm! Inaonekana wachangiaji wengi wapo kwenye makaratasi zaidi, nahisi bahasha zimesambazwa sana!
 
mama anasema ukawa warudi bungeni kupapambanisha hoja.
mytake: Hoja za matusi na kuzomeana??
 
Jamani haya mambo ndio yatakuwa yaleyale mana mdaharo aujaweka idadi kwa kila chama, sasa kuhusu swala la UDA na idadi ya watu hata vyama vingine vinaruhusiwa kuja hata na tren.Mi nafikili ni tuzingatie hoja.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CCM wanaweweseka naona waliokula hela kazi wanaifanya
 
Nilifikiri alivyo anza Prof Tibaijuka angeelezea nafasi ya mwanamke katika mchakato wa katiba watu wangemuelewa, ila amebase kwenye uchama sana si msomi wa kumuamini
 
Huyu mama naeeee....Hata sijuu anaongeaaa nini yaaani
 
Yaani ukiwa ccm hata kama professor unaongea kama mtoto wa darasa la 3
 
Fanya ufanyavyo serekali mbili lazima zipite tu Hanna tatu wala moja.kitumbo ni mchele sio mtu ww uwena heshima
 
Nilifikiri alivyo anza Prof Tibaijuka angeelezea nafasi ya mwanamke katika mchakato wa katiba watu wangemuelewa, ila amebase kwenye uchama sana si msomi wa kumuamini

huyu mama hamna kitu.
 
Back
Top Bottom