Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Huyu mama Tibaijuka ni wa hovyo sana..Kuwaza kuendesha serikali tatu ni gharama ni ujinga wanaowaza wana ccm..Wana ccm wote ni wajinga sana! Huyu profesa anayeendesha mjadala ni mwana ccm mwenye maslahi ya kifisadi ndani ya ccm..Kwenye gari lake kaning'iniza bendera ya ccm...Ni profesa wa CoET kwenye kitengo cha energy...Pia ana maslahi ya kifisadi kwenye mchakato wa gesi Mtwara..Hili kongamano limeandaliwa kwa ajenda binafsi na nakubaliana na Yeriko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Huu wazee

yaani na wezee wamendaliwa ??

Hawa wote wameandaliwa na ccm hakuna kipya
 
kazi ipo hapa... Hawa ni wanachuo wa UDSM au?
 
Hii nchi ikiingia vitani ndo maccm yatajua watu wa nchi hii si kama ya mwaka 1961
 
Huyu mama anasema kuna wanachuo hapo wakati wanafunzi wamefunga chuo hawapo hao waliopo wameletwa na UDA hapo.
 
YAANI UDA WAMEFANYA KAZI

wamebeba wazee wa CCM

yaani huyu Muongozaji kapewa majina ya WAZEE WA CCM
 
attachment.php
 
Naona mzee wa ccm kapewa kafundishwa adabu baada ya kumkosea adabu Warioba.
 
Dah kuna mzee katoa povu baya hapa. Jamaa wameshindwa kumvumilia katoka.
 
Back
Top Bottom