Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

Nimesangaa mno kusikia makofi hata Wasira akipiga chafya, ama kweli pesa ilimponza Yuda kumsaliti Yesu.
 
Sasa ni vurugu, baada ya mzee wa ccm kufumuliwa ccm wanalipiza kisasi kwa mzee makaid japokuwa makaid hajafanya kosa lolote.

Mzee wa kwanza katolewa kwasababu gani nilitoka kidogo.
 
Yericko alishasema ila walionunuliwa wajiandae kudhulumiwa pesa iliyobaki
 
Akili za kitoto sana hizi,hv bado kuna viongozi wao wanawapa mawazo kama haya?kweli ni manufacturing of teachers
 
huyu jamaa anasoma faida za serikali tatu au anafafanua.. mi cmwelewi
 
Mzee wa kwanza katolewa kwasababu gani nilitoka kidogo.

Alisema maudhui sikumbuki neno kwa neno.

Warioba analipotosha taifa kwa kupeleka maoni yake ya hovyo kuitowa Tanzania kwenye serikali mbili nakuipeleka kwenye

federation (kifupi ametumia maneno yaliyomkosea heshima jaji warioba)
 
Back
Top Bottom