Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi inakuaje muongozaj anasoma majina??!
asee ukiongea ukweli heshima yako inabaki palepale! mamluki waccm wanazomea hata kwenye ukweli
Sasa ni vurugu, baada ya mzee wa ccm kufumuliwa ccm wanalipiza kisasi kwa mzee makaid japokuwa makaid hajafanya kosa lolote.
hivi kuna mamluki humo ndani?
Hii kitu ni Planned ndugu yangu..
Sasa ni vurugu, baada ya mzee wa ccm kufumuliwa ccm wanalipiza kisasi kwa mzee makaid japokuwa makaid hajafanya kosa lolote.
kwa kweli huyo mzee wamemuonea... mdahalo ulikuwa jana, huu wa leo ni kama mkutano wa chamaSasa ni vurugu, baada ya mzee wa ccm kufumuliwa ccm wanalipiza kisasi kwa mzee makaid japokuwa makaid hajafanya kosa lolote.
Hii kitu ni Planned ndugu yangu..
Mzee wa kwanza katolewa kwasababu gani nilitoka kidogo.
Alimtukana Prof. Warioba
Mzee wa kwanza katolewa kwasababu gani nilitoka kidogo.