R rub Member Joined Jul 1, 2013 Posts 24 Reaction score 5 Oct 27, 2013 #41 Wadau mdahalo wa katiba mpya unaendelea sasa hivi na uko live itv na radio one
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Oct 27, 2013 #42 hivi nani huwa ana zuia wana ccm kushiriki midahalo? Kairuki angeishangaza dunia kushiriki huu mdahalo.
hivi nani huwa ana zuia wana ccm kushiriki midahalo? Kairuki angeishangaza dunia kushiriki huu mdahalo.
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #43 Hata hivyo wazungumzaji wanazungumza lugha ngumu sana, bado watu wa kawaida hawataelewa vyema, ndivyo nionavyo!
Hata hivyo wazungumzaji wanazungumza lugha ngumu sana, bado watu wa kawaida hawataelewa vyema, ndivyo nionavyo!
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Oct 27, 2013 Thread starter #44 Lisu asema watanzania wengi hawajui ukweli kuhusu muungano
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Oct 27, 2013 Thread starter #45 Mwaka 1963 muungano wa serekali tatu ndio ulio mng'oa Jumbe madarakani
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #46 Tundu lissu anatoa historia fupi ya mahitaji ya serikali tatu, anafanya hvyo ili kutoa shaka kuwa tume ya warioba haijachukua maoni ya wapinzani kuhusu serikali tatu, bali ni issue ya muda mrefu sana, 1965
Tundu lissu anatoa historia fupi ya mahitaji ya serikali tatu, anafanya hvyo ili kutoa shaka kuwa tume ya warioba haijachukua maoni ya wapinzani kuhusu serikali tatu, bali ni issue ya muda mrefu sana, 1965
ifweero JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 7,957 Reaction score 1,335 Oct 27, 2013 #47 Wagonjwa wa mirembe wengi wao wanatibiwa ugonjwa wa kichaa
ifweero JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 7,957 Reaction score 1,335 Oct 27, 2013 #48 Dr kigwangalla ana wagonjwa wake ambao anawatibu ugonjwa wa kuchanganyikiwa
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #49 Dr alien anazungumza kuhusu serikali tatu, yeye anasema kuwa muungano umekumbatiwa na ccm, ila siku ccm waking'oka ndio mwisho wa muungano
Dr alien anazungumza kuhusu serikali tatu, yeye anasema kuwa muungano umekumbatiwa na ccm, ila siku ccm waking'oka ndio mwisho wa muungano
DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Oct 27, 2013 #50 Daaa Lisu ni jembe aisee
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #51 Dr alien, anasema muungano ni janja ya kupora mamlaka ya znz!
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,500 Oct 27, 2013 #52 NAWAPATA LIVE HAPA RadioOne | Stereo SIKILIENI WENYEWE MTAELEWA
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #53 Dr alien, anasema yeye anaona km muungano unafanya znz km vile haiwezi kujitawala hvyo ni km inasaidiwa hv!
Dr alien, anasema yeye anaona km muungano unafanya znz km vile haiwezi kujitawala hvyo ni km inasaidiwa hv!
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #54 Mjadala unaendelea . . . . . . . .sasa ni maswali toka kwa wasikilizaji waliopo ukumbini
Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Oct 27, 2013 Thread starter #55 Aley Nassor asema mfumo wa serekali mbili si suluhisho la muungano ila serekali tatu yaweza kuwa suluhisho
Aley Nassor asema mfumo wa serekali mbili si suluhisho la muungano ila serekali tatu yaweza kuwa suluhisho
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #56 Kuna jamaa anauliza km je serikali tatu ndio suluhisho?(anaonekana ni msikilizaji mzuri wa hotuba za mwalimu)
Kuna jamaa anauliza km je serikali tatu ndio suluhisho?(anaonekana ni msikilizaji mzuri wa hotuba za mwalimu)
DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Oct 27, 2013 #57 Tundu lisu ni noumer
ZAMBI YANGU Senior Member Joined Jul 23, 2013 Posts 163 Reaction score 44 Oct 27, 2013 #58 Mbona Mama Kairuki simuoni?
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #59 Jamaa anaona kuwa hakuna kokote duniani penye serikali tatu(swali limeenda kwa lissu)
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,314 Oct 27, 2013 #60 Hadi sasa wauliza maswali wanaonekana hawapo detailed kabisaaaa. . . . . . .ila ndio watz wetu!