Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Mdahalo umepoa, sio km nilivyotegemea. . . . .hii ni kwa sababu Dr alien kimsingi wanakubaliana na Tundu na ni mbaya sana ktk mdahalo maana mdahalo unakuwa km mnapiga story tu za kwenye vijiwe vya kahawa!
ni kwa sababu sisi ni watu wadogo wadogo mkuu,kila mtu ana upeo wake,ana utashi wake,ana hisia zake,wewe wa new york una elewa ALMOST KILA KITU!! Lakini naona umeshindwa kumwelewa kila mtu! Mwakilishi wenu leo kaumbuka kwenye mdahalo,we nenda kamsaidie kiranga kwenye ile kampeni yetu ya hakuna Mungu! Acha watanzania wajadili mustakabali wao,BTW huwezi kuwabadili wote wawe kama wewe,wavumilie tu ndugu yangu.Mbona kaelezea kikawaida tu.....sasa huo unouma wake uko wapi?
Huwa sielewi kwa nini mnazuzuka na mambo madogo madogo hivyo....
Hapa members wa book saba aka Lumumba jazz band huwezi kuwawona hawataki kujadili vitu vya kitaifa ila kujadili watu chadema Mbowe na Dr Slaa
...synovet na redet,una swali ...?Huo mjadala umeandaliwa na nani?
Kulikuwa na BW**E. 1 kajitambulisha km anaishi AMERICA kwa zama hz alidhani kusema anaishi huko aliona bonge la issue! Watu tulidhani atasema anaTAALUMA gani kumbe kuishi2 hata mBWA anaishi huko!! Hakuna cha maana alichosema! kaishia kutema maSHUDU kamanda TL alipocmama kampa 1tu! jamaa kakodoa mimacho km KENGE! CCM kutetewa na m2 km yule ndo kunapelekea watu makini kuendelea kuipuuza CCM hana HOJA anatema PUMBA 7BU! imesemwa CCM duh!
Na memba wa viroba ni kutukana tu
Usikute Mwigulu kamsafirisha toka USA aje apambane na Lisu
Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa diktetaKwenye mambo muhimu ya Kitaifa na yenye mustakabali mpana ushiriki/uchangiaji wa CCM huwa ni mdogo na hafifu sana, kwanini?
startime imekatika na huduma kwa wateja haipatikani.
Mimi mwenyewe namwona kama ze comedy anatutishia na New york nani anajali! Bora lisu ambaye tuko naye hapa tz kuliko yeye anayeishi US.
Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa dikteta