Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Mi naombeni tu jina kamili la m/kiti wa mdahalo...Aitwa Rozy nani vile?....Kaundesha vizuri sana alafu anakijua hasa kinachojadiliwa! (Fatma A Nyangasa) huwa anabania sana watu wasiongee yanayowasibu kwenye MALUMBANO YA HOJA.
Kulikuwa na BW**E. 1 kajitambulisha km anaishi AMERICA kwa zama hz alidhani kusema anaishi huko aliona bonge la issue! Watu tulidhani atasema anaTAALUMA gani kumbe kuishi2 hata mBWA anaishi huko!! Hakuna cha maana alichosema! kaishia kutema maSHUDU kamanda TL alipocmama kampa 1tu! jamaa kakodoa mimacho km KENGE! CCM kutetewa na m2 km yule ndo kunapelekea watu makini kuendelea kuipuuza CCM hana HOJA anatema PUMBA 7BU! imesemwa CCM duh!
Mbona hakuna watu.
Nasikitika sana magamba yanakimbia midahalo, hivi ni kwa nn?
Kwani yeye alikuwa padri au mchungaji? na mzee Mtei ameanzisha mfumo upi UKASKAZINI?Mwalimu Nyerere, Mwenyekiti wa CCM mstaafu, ndiye Mwasisi wa MFUMO KRISTO.
CCM=MFUMO KRISTO
Kama unataka watu nenda labour/delivery ward
Jamani Tundu Lisu noma, Kila siku anakuwa bora zaidi. keep it Up Mh Tundu Lisu
Na mkunga wenu ni CCM atawazalisha mpaka mimba zenu changa
Sio chama yule?
Sio chama yule?
Na mkunga wenu ni CCM atawazalisha mpaka mimba zenu changa
Mimi ni mtaaluma sio mganga njaa nina shule nguvu ambayo sioni tabu kuisema mbele ya mngese yoyote! Upo hapo kamanda????
Mimi mwenyewe namwona kama ze comedy anatutishia na New york nani anajali! Bora lisu ambaye tuko naye hapa tz kuliko yeye anayeishi US.
Nitaweka link ya kusikiliza mdahalo wote!
every leadership should have dictatorship element! Kusema hivo sio matusi, nadhani mwehu ni wewe!Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa dikteta
watanzania tujivunie kwa mh. Lissu, huyu atalifikisha taifa letu mbali kwa mambo mengi, pia na weledi wake katika fani yake ya sheria! Viongozi wengi wa ccm hawamfikii lissu hata robo!Hata kichaa akizoea mtaani anaanza kunenepa
Mdahalo wa Rasimu ya Katiba ipi? Ya CHADEMA iliyochakachuliwa au hi ya taifa iliyowqpeleka Ikulu kunywa juice?