Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mdahalo wa kujadili Rasimu ya Katiba: Live on ITV

Mi naombeni tu jina kamili la m/kiti wa mdahalo...Aitwa Rozy nani vile?....Kaundesha vizuri sana alafu anakijua hasa kinachojadiliwa! (Fatma A Nyangasa) huwa anabania sana watu wasiongee yanayowasibu kwenye MALUMBANO YA HOJA.

Rosemary Mwakitwange?! Ni member humu.
 
Kulikuwa na BW**E. 1 kajitambulisha km anaishi AMERICA kwa zama hz alidhani kusema anaishi huko aliona bonge la issue! Watu tulidhani atasema anaTAALUMA gani kumbe kuishi2 hata mBWA anaishi huko!! Hakuna cha maana alichosema! kaishia kutema maSHUDU kamanda TL alipocmama kampa 1tu! jamaa kakodoa mimacho km KENGE! CCM kutetewa na m2 km yule ndo kunapelekea watu makini kuendelea kuipuuza CCM hana HOJA anatema PUMBA 7BU! imesemwa CCM duh!

Sio chama yule?
 
Last edited by a moderator:
Jamani Tundu Lisu noma, Kila siku anakuwa bora zaidi. keep it Up Mh Tundu Lisu
 
asante kwa update wengne hatukuangalia wala kusikiliza
 
Leo lumumba buku saba team walikuwa wamejazana kinoma kwenye ukumbi
 

Ha ha haaaa! cdhani km niyeye manake CHAMA ni m-bishi lkn huwa anacmamia HOJA yake! lkn kwa yule jamaa duh! NimemDharau sana! Nadhani bado anaAkili za zamani kwamba ukiishi NJE ya NCH wahuku BONGO niwajinga2 Bt hawajui kuwa cku hz DUNIA ni KJJ kwakweli afadhali angetaja jina Ingetosha2 lkn alichofanya ni uBWEGE PLUS! basi afadhali angekuwa na HOJA anatema PUMBA2 nadhani wale ndo wanaopelekwa huko NJE na maSHEMEJI zao!
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwenyewe namwona kama ze comedy anatutishia na New york nani anajali! Bora lisu ambaye tuko naye hapa tz kuliko yeye anayeishi US.

Huyo wa new york sijui maftah hajui hata katiba ya marekani ilipatikana vipi. Angejua basi asingeongea aliyoyaongea
 
Kwa sababu hatuwezi kushuhudia kiongozi wetu makini kupata kutokea katika taifa hili Mwl J.K.Nyerere akitukanwa hadharani na mwehu TUNDU LISSU kwa kuitwa dikteta
every leadership should have dictatorship element! Kusema hivo sio matusi, nadhani mwehu ni wewe!
 
Hata kichaa akizoea mtaani anaanza kunenepa
watanzania tujivunie kwa mh. Lissu, huyu atalifikisha taifa letu mbali kwa mambo mengi, pia na weledi wake katika fani yake ya sheria! Viongozi wengi wa ccm hawamfikii lissu hata robo!
 
Back
Top Bottom